Nitajie tarehe yako na ya mwenza wako nikwambie mpo vipi na hatima yenu, siri yake n.k

Mkuu naomba nisaidie nimrudishe mwanamke aliyeniacha. Ila nampenda hadi sijielewi. Hapa nilikua nacheki picha zake kichwa kimepata moto hadi nasikia kizunguzungu. Nisaidie Asee
 
Nimeomba urudishe kuandika quote yako ikiwa imejitosheleza na sio mimi kuanza kurejea kurudi kwenye quotes za nyuma kutafuta ulisema nini kuna shida?
Mimi ni me
Me ....25/11....herufi Y

Ke.......16/8........herufi A

Status: uchumba
 
Nitarudi...................................................!
Mkuu ukirudi husinisahau aisee!

Mimi ni Me, naitwa N, nimezaliwa tarehe 22/12.

Yeye Ke, anaitwa J, amezaliwa tarehe 2/8.

Ahsante!..
 
Mimi ni mwanaume naitwa : B
Nimezaliwa 23/08

Mwenzi wangu anaitwa: G
Alizaliwa 12/04
 
Me ni Mei 25 jina H
Ke ni Nov 4 jina N
Mimi ni Ke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…