Nitajie tarehe yako na ya mwenza wako nikwambie mpo vipi na hatima yenu, siri yake n.k

Mimi Me 10/11 S
Yeye Ke 08/7 N


Rakims

Nitabirie ndugu.

Nitakushukuru
Nge & Kaa Chumbani na urafiki wa karibu Utangamano wenu:

Nyota yako kwanza kabisa inahusiana na kifo na kila aina ya jambo baya kwa maana ina tawala mlango wa nane (House of dealth and regeneration). na vile vile wenye nyota yako sifa hizi mbaya huja kutokana na hisia kali ulizonazo na pia ukandamizaji wako katika tendo la ndoa,
Kwenye mahusiano yeye (Kaa) mara nyingi ni mwenye kukuelewa zaidi hasa linapokuja suala la kuelezia hisia zako nzito kwake na kwa mambo mengine pia. Unatarajiwa kuwa na giza kubwa sana la wimbi la ngono hata kama utakuta unajizuia vipi. Na hii hupelekewa pale yeye atakaposhindwa au kuogopa kuhimili mikiki mikiki yako ya chumbani, vile vile mahusiano yenu kingono ni mazito sana na matamu kuliko kawaida unless uwe na matatizo ya kisaikolojia ila kama kati yenu hakuna mtu mwenye matatizo basi mahusiano kati ya Nge na kaa ni mahusiano ambayo watu wengi wanatamani kuwa nayo kwa maana ukiskia moja kati ya real love ndio hii couple.

Mahusiano haya ya nyota hizi mbili za asili ya maji yaani maji ya moto na maji ya bahari ni yenye kuvutia na kupendeza machoni kwa watu kwa jinsi mnavyokuwa hata mbele za watu. Kwa hapa hujakosea kama hujafunga ndoa basi nenda hata kafunge kesho.

Hii ni zawadi kubwa kuwa na mahusiano haya. Yeye(Kaa) ni mpenzi hasi na wewe (Nge) ni mpenzi chanya na vile vile kuna moto mkali wa mahaba unaotoka kwako kwenda kwake katika wimbi la kiroho ambao unapelekea mahusiano haya kuwa madhubuti. Joto la chumbani pia ni habari nyingine hapa mnafaana na kuendana sana.
Joto hilo la chumbani huamsha hisia kali na hupelekea kichochezi cha wawili nyie kuoneana wivu wa kupindukia.
Wewe ni mwenye kumjanza nguvu na ulinzi wa hali ya juu na yeye ndicho kitu ambacho anatafuta zaidi kwenye mahusiano kwa maneno mengine anaweza kukuita soul mate. Yeye ni mwenye kwenda sawa na kila mtu ni mtu wa watu na mwenye kupenda watu wote sio mbaguzi na anapokuwa na wewe hili huwa dhahiri kwake, na ni kitu ambacho wewe unapenda kukiona kiwepo kwa mwenza wako. Nyie wawili mnaendana kama mkate na Jam.

Haya ni mahusiano kati ya nyota mbili za maji ambapo mapenzi yenu kila mmoja anataka na kupendezewa kuona hisia kali kwa mwengine na ni kitu ambacho wote wawili kila mmoja yupo radhi kumgawia mwenzie bila choyo wala kumbania, Mnapoingia kwenye mahusiano basi mnakuwa na upendo usio na mipaka na urafiki wakaribu kwenu hushamiri na watu wengine hapa inategemea wa kike ni nani na wa kiume ni nani kwa maana kuna mmoja akiwa jinsia fulani basi mnaweza kuwa kama mtu na shoga yake yaani urafiki wenu hukithiri hadi kuanza matani ya kuonana mtu na shoga yake walioshibana.

Ingawa sasa nyota yako ya Nge ni nyota ya mtu ambaye ni sawa na mbalamwezi iliyodondoka ambayo mbalamwezi ni sayari ya nyota ya kaa kinajimu kwake wewe ni sawa na baba au mama kutegemea na jinsia yako. Sasa kama wewe hisia zako zikichanganyika na ukali basi mahusiano yenu yatakuwa ni sawa na mapenzi ya ugomvi wenye hisia za mahaba makali ndani yake yaani mnaweza kutukanana kisha mkacheka Isipokuwa baadae hii itakuja kumchosha yeye na vile uombaji wako wa tendo mara zingine umetawala mabavu na shari.

Kwa hivyo hapa mtakuwa mnaendana kwa asilimia 90%

Nge & Kaa uaminifu wenu

Wewe (Nge) unapopenda moja kati ya jambo kubwa kwenye mahusiano yako huwa ni Uaminifu, Ikifikia sehemu umejihisi kusalitiwa basi mara nyingi huonyesha wivu wako wote na uchungu sana bila kuficha na kila mtu aliyekaribu yako atajua kuwa umesalitiwa.
Lakini sasa kwa mwenza huyu (Kaa) anapoingia kwenye mapenzi yeye hupenda kuheshimu sana mpenzi wake na kumlindia kwa hali zote kumuhifadhia utu wake kwa maana moja kwa moja ni rahisi sana kwake yeye kujua kuwa hapa akicheza kitim tim chako ni kivumbi cha hatari kwenye wivu.

Na nyote vile ni wenye asili ya maji mara nyingi ni watu ambao usaliti kwenu kila mmoja ni kitu anachopenda kufanya japo ni wenye mapenzi ya dhati kila mmoja kwa mwenzie hivyo kwa ugumu kidogo mwanzo kwenye uaminifu mapenzi yatayumba lakini baada uaminifu huja kwa upana sana kwa maana kila mmoja kati yenu anajua ni jinsi gani mapenzi yanauma.
Moja kwa moja nyote wawili ni wenye kupeana ulinzi wa mahaba na wote mtajihisi kuhifadhika hapo baadae.

Hivyo linapokuja suala la uaminifu mnaendana kwa asilimia 95%

Nge na Kaa mawasiliano yenu na mazungumzo:
Wawili nyie ni wenye kuelewana hata kama pasipohitajika mazungumzo yaani sura tu huonyesha kujielezea kwa kila mmoja wenu. Hii pia huweza kuinfluence maisha yenu ya tendo la ndoa na kulifanya kuwa bora kuliko watu wengine. Lakini vile vile hii inaweza kuwa ni yeye kuleta mtafaruku kama mapenzi ya mwingine yataelemea katika kitu fulani tuchukulie mfano hajakupenda wewe na kapenda kile ulichonacho. Mazungumzo yenu ni mazuri sana kwa kuwa tu mara nyingi huhusisha hisia zenu. Na hata muda mwingine kwa wale wanaoanza urafiki utaona ni wepesi kila mmoja kumalizia sentensi ya mwenzie. Wote ni wenye kupenda kuzungumza mara kwa mara ingawa hili mwanzoni sio rahisi kuonekana na mara nyingi kwako wewe ni mwenye kupenda kujiweka hupendi maneno na una katabia ka kuexaggerate mambo.

Ikitokea yeye akaanza kukuona tofauti mwanzo basi moja kwa moja atashindwa hapo hapo mwanzoni kuendelea na wewe na atatafuta kila njia ili kila mtu ashike nafasi yake. Lakini hii ni ngumu kwa maana mkiwa pamoja kila mmoja wenu anatamani na kutaka kuhakikisha anamuweka mwenzie sawa vile anavyopenda aende nae yeye.

Hivyo tunapokuja kwenye maelewano yenu mnaendana kwa asilimia 99%

Nge na kaa Hisia zenu:

Hii ni nyeti sana na tawala ya kimbinu sana kwenye mahusiano kama haya.
Yeye ni mwenye kupenda sana kuishia na hisia zake au kuzificha ikiwa ni zenye faida au hasara yeye hupenda kuficha sana hisia zake.Na pia hupenda zaidi na pia katika kutumia hisia zake katika maisha yake ya kila siku basi utakuta moja kwa moja yeye ni mwenye kukuletea ugumu kuelewa kwenda na hisia zake, kwa sababu ana uwezo mkubwa wa kupotezea na kuficha hisia zake.
na akili taka lake kihisia hashindwi kupata na ni mtu rahisi sana kucheza na hisia za mtu anaweza akakujaza kisha akakuacha kwenye mataa. Kitu kinachowasaidia kwenye mahusiano yenu ni ile hali ya kila mtu kuwa na uwezo wa kustahamili mwenzie na hisia ni vitu vinavyohitajika ili mahusiano yakue japo hazina nafasi sana ya kuingilia mafanikio ya uhusiano wenu kwa maana ni kitu wewe huwa unajiamini kuwa ni cha kupanda na kushuka.
Nyote wawili mnatakiwa kujifunza jinsi ya kuachia ngazi kwenye mahusiano ya utawala isiwe mmoja ni mwenye kung;ang'ania mahusiano ya utawala ulalie kwake tu. Hii itasaidia sana katika kukuza mahusiano yenu.

Kwa hali hii kwenye suala la hisia mnaendana kwa asilimia 70%

Nge na Kaa Thamani:

Linapokuja katika suala la kuthaminiana hapa huwa kuna mtiti kwa maana yeye ni mbinafsi katika suala la thamani na ni mwenye kutaka familia yenye kumtegemea yeye tu. kwenye familia huyu ni mbinafsi na bahili, Lakini kwenye familia wewe ni mtu wa kujiachia na inapokuja kwenye kuthaminiana wewe huthamini mwanzo wa thamani yenyewe kisha baadae kushusha kisha kupanda yani wewe kwake suala la thamani ni jambo la kupanda na kushuka. Ni ngumu na ugumu kwenu huja kwenye suala la kuthaminiana hata mjitahidi vipi ugomvi wenu mkubwa utakuwa ni kuchanganya maana ya neno thamani na kujali.
Mahusiano haya yana ubovu katika matumizi ya neno hunijali na hunithamini sawa na kulinganisha pumba na mchele time zote pumba utaona mchele na mchele utaona pumba na kusahau kuwa pamoja haviliki.

Hivyo kwenye thamani nawapeni asilimia 25%

Nge na kaa Kushirikishana


Kwenye suala la kushirikishana mambo litawalindia sana issue ya nyie kuthaminiana kwa maana ndio kama nilivyosema hapo mwanzo kwamba thamani na kujali mahusiano yenu hajajui maana yake ndio maana linapokuja suala la kushirikishana utaona mmoja kati yenu anasema kuna muda ananithamini na kuna muda hanithamini hapana hayo ni matumizi mabovu ya maneno haya mawili na elimu ya kutofautisha hili hata muwe ni waelewa vipi kwenye hili la kuthaminiana hamuwezi kuendana wala kuelewana.
Lakini kwenye issue ya kushirikishana na ushirikiano basi utaona kila mmoja wenu ni mwenye kujitoa kwa hali na mali katika kusaidia watu wanaomzunguka mwenza wake mfano yeye kujali ndugu zako na wewe kujali zake.
Yeye kutokana na hitaji lake la kimama kuwalinda watu anaewapenda, na wewe (Nge) ili kuweka mipaka mizuri juu ya kile uchofikiri ni sahihi.
Ikiwa mtaunda dunia yenu ndogo yaani (nyumba yenu) basi utaona ni watu ambao ushirikiano wenu ni sawa na mapacha.

Hivyo kwa ushirikiano hapana shaka mnaendana kwa asilimia 95%

Summarize:

Mahusiano kati ya wawili nyie yanaweza kupiga kila siku hatua kutoka hatua moja kwenda nyingine. Kiukweli ni watu wenye kuendana sana na mahusiano yenu hushamiri kama umeoa au kuolewa na mtu haeleweki na umempata huyu basi muache yule kaa na huyu lakini kama upo nae kwenye mahusiano tu basi oa leo kabla ya kesho, na kama ni mtu una mfukuzia usikate tamaa.

Rakims
 
Yangu bado hujajibu mkuu

Me 5/8 herufi O

Mimi Ke 17/8 herufi V

Sent from my vivo 1906 using JamiiForums mobile app
Utangamano;

Mahusiano yenu hapa huwa ni sawa na Mfalme na Malkia wanapokutana,
Vichwa hugeuka kwa maana wawili nyie wote ni Simba na mahusiano haya ni sawa na simba dume na simba jike. Wawili nyie hapa ni wenye kuwa na uaminifu mkubwa sana,
Mahusiano haya pande zote mbili huwa ni zenye shauku kubwa sana katika mizani wa kila mmoja kwa mwenzie. Wote wawili nyie ni wenye mapenzi makubwa na mko romantic sana.
Kila mmoja kwa mwenzie, wenye rangi za kupendeza na furaha kubwa katika maisha yenu ya sasa na ya baadae na wenye uwezo mkubwa sana wa kufikishana kileleni.

Swali kubwa la kujiuliza hapa ni; Nani kati yenu atakae kuwa mtawala?
Ni ngumu sana kwa Simba mmoja kumuachia nafasi mwengine kutawala na kujiona muhimu na kujistahi kuliko mwingine.
Lakini hilo ndio kubwa linalohitajika zaidi kwenye mahusiano haya.
Kila mmoja wenu hata taka tu kukaa kwenye kitu ya ufalme huu isipokuwa kila mmoja atataka aonyeshe mabavu yake pia.
Kwa ushindani wa kuridhishana kitandani nani atakae mridhisha mwenzie, Nani atakae muhudumia vizuri mwenzie, nani atakae mpa zawadi mwenzie, nani atakae pendeza zaidi ya mwenzie, nani atakaejali zaidi wazazi wa mwenzie, nani atakae mbembeleza zaidi mwenzie.
Yaani ni ushindani wa mahaba makubwa na heshima kubwa hakuna mfano na umejaa hisia kali na kila mtu atakae waona atataka kuwaiga.
Wawili nyie ni sawa na mkaa unaopika chakula ukaongezewa mkaa mwingine, wawili nyie ni sawa na jua moja likaongezewa lingine yaani nyie ni watu mnaendana kuliko kawaida unless mmoja wenu awe kadanganya details;

Binafsi nayapenda mahusiano baina ya Simba na Simba maana wakiungana wanakuwa ni kivutio cha utalii na pia ni nyota pekee katika unajimu zinazoendana sana kuliko zingine kwa maana wote mnatawaliwa na sayari ya jua na hakuna anaeendana na mwingine isipokuwa jua mwenzie ni jua, simba mwenzie ni simba na vile vile mfalme mwenzie ni malkia.

Basi kama bado hamjafunga ndoa mnasubiri nini?

Nyie ni Grand lovers and interesting rivals (wapenzi wakuu na wapinzani wa kuvutia).

Rakims
 
 
Huna lolote ni uganga wa kienyeji. Una tofauti gani na shehe yahya yule tapeli wa kiislamu
 
Wow! Hadi raha
 
Kilinge chako kipo wapi tujilete huko wenyewe 🤔
 
Huna lolote ni uganga wa kienyeji. Una tofauti gani na shehe yahya yule tapeli wa kiislamu
Tofauti yetu yeye alikuwa sheikh Yahaya na mimi ni Rakims hata hilo huwezi kutofautisha? Leta details zako na za mke aliyekukimbia nikupe uchambuzi ningekuwa na njaa kama zako nisingefanya bure hapa, pia wewe ni mjinga sana badala ukaendelee kuhangaika kulaum siasa usioijua huko unakuja kutusumbua sisi,

Umeacha kuota ndoto za kukutana na marais barabarani?

Halafu tangu lini mchawi akapenda watu kusomewa nyota na kujitambua kwa maana wakati unaingia humu ulijiita Baba wa wote na ulisema ni baba wa wanaoruka wachawi sasa ulishawahi kuona mchawi na watu wa kiroho wanaenda pamoja?


Maneno yako haya hapo juu ulisahau kuyafuta ulivyotumbukia kwenye shimo la siasa usioijua ya kuota kukutana na maraisi na kupiga gumzo humu lisilosikika?

Kaa kwenye uelekeo wako wa kuchangia siasa usizozijua haya majukwaa mengine waachie wengine na mbona una makasiriko au huna mke nini?

unaonekana umeshahangaika sana kwa waganga kupata msaada ukashindikana sasa kila anaeonyesha maarifa ya kiroho au kinajimu unapiga vita.
Ajabu ya wachawi kuonyesha chuki kwa mambo madogo hadharani bila kumjua anaemchukia sometimes nyie ndio mnaofanya mataifa yenu kuharibika kila siku mnakimbilia kutamani visivyokuwa vyenu akisimama kiongozi fulani au akitoa hoja mtu fulani roho inakuuma unatamani hata angekuwa karibu ungemuua badirika.
Nifuatilie utajifunza mengi sana huenda nikawa daraja lako la msaada wa maarifa ukajibadiri roho yako mbaya iliyojaa husda,chuki,choyo na udini ndani yake. Umeshakua mtu mzima hivyo ishi vema na watu ili uje kuwa kiigizo chema elimu ni bahari hutajua yote.
Binafsi unajiita mtu mzima na baba wa watu lakini kuna watu ni
"watoto katika maumbile ya wazee na wazee katika maumbile ya watoto" kwa mimi binafsi siwezi kusikiliza shauri lako hata moja kwa maana naamini hata wajinga pia huzeeka, akili haikai kwenye umri na hekima ya mtu ipo katika yale anayoongea.
Wacha kuchafua thread usizozijua wala hazikuhusu hii sio ya kwako link yako hii hapa;

Kapepesukie huko kwa wazee wenzio wale ambao wakishiba na kunywa kahawa waanza kuichamba serikali. Humu hapakufai umekosea mlango.

Na pia mimi sio member wa MMU isipokuwa nimeamua tu kusaidia wengine wanaosumbuka na hivi vitu jukwaa langu ni Jamii intelligence and here is my motor

"Serious reports & Detailed discussions"
Anything you do or say! its for yourself!
Karma will find you!
Rakims

Hivyo unapoanzisha mjadala na mimi jitahidi kidogo utumie hekima na adabu na uwe ni mwenye kufahamu unachoongea vile vile uwe na akili timamu, hatuuzi au kula ugoro hapa.

Mwisho:
Niwie radhi ikiwa nimekukwaza maana najua ni lazima utakwazika kwa maana ni mchawi mwenye kuona wenzie wachawi na ni mwenye roho mbaya na mbaguzi kama sio wa dini basi wa ukabila.
Ukijibu au kuongeza utumbo na hapa basi utakuwa hauko sawa wala hauna timamu kwa maana niliyokwambia yanamtosha mtu mwenye akili kijielewa pale alipoteleza.

Karibu ujifunze zaidi mambo ya kiroho hapa na uache roho ya kwanini kwa watu usiowajua;


Rakims
 
Kilinge chako kipo wapi tujilete huko wenyewe 🤔
Binafsi watu kama wewe huwa nawapa pole hapa hapa online kwa maana wanaandika kitu wasichokijua na baadae kinakuja kuwadhuru wao wenyewe;

Hivyo pole sana na mwenyezi Mungu atakuongoza
 
Wengine njaa inawasumbua
Jitizame ulivyo na roho mbaya Astaghfirullah yaani unashadadia Quotes ambazo zipo Negative zingine huoni? kweli wewe ni:
"Sum mum bukmum umyum fahum la yarjiun"
Vile vile "Indeed, it is not the sight that becomes blind but the heart that becomes blind'.
Una roho mbaya na nyeusi sana kwanini usiquote watu waliokubali ni kweli na kuwaambia mnadanganywa unaenda kumquote mfalme wako wa ujinga?

Rakims
 
Male: 09/09A
Female: 26/10P

mnaendana kwa asilimia 75% jambo unatakiwa tu kuvumilia usaliti kwenye hayo mapenzi mlionayo atleast ungekuwa umefikia uchumba nae kwa maana;

Wewe ni mchanga mwekundu na yeye ni maji ya moto mnaendana vizuri kiasi kwa mkusanyiko wenu wawili katika mapenzi mnaingia kwenye mlango wa 2 mlango wa pesa na umiliki utapata mvuto wa pesa ukiwa nae kimapenzi lakini mkitangaza uchumba utaona mambo yanaharibika mtizamo zaidi unaonyesha

Tamaa yake ya kimwili inaweza kukufanya kujikuta jasiri zaidi kila utakavyo kuwa ukikutana nae kimwili au wakati ukimaliza na pia utakuwa na furaha kuwa nae kwa sababu ni mtu mwennye kumiliki vizuri mapenzi na aliyemuaminifu kupitiliza kwa mtu aliyemridhia katika roho yake na hii tu ni kwa yule aliyemridhia rohoni lakini kama haupo rohoni kwake jiandae kusalitiwa na kupewa habari bila woga kuwa anakusaliti na kutoka na mtu mwingine tabia zake hizo mbili nilizokutajia hapo zitakufanya ujihisi ni mtu mwenye bahati katika mapenzi lakini kinyume na hapo utajihisi na mkosi wa mapenzi.

Ulinzi wake wa mapenzi kwako ni kitu kingine muhimu sana kwako na kitakacho kufanya uwe na furaha katika mahusiano yenu pia kati yenu mnaonekana nyote ni wenye kupendezwa na akili za kila mmoja;

Wewe ni mtu wa mantiki,kiakili na mchambuzi mzuri ambapo yeye ni tete na msiri;

wewe utakuwa mwenye kujizuia na kujihifadhi.

Ingawa kwenu mtakuwa na migogoro nani anaetakiwa kuongoza na kuendesha mambo ya mahusiano na maisha yenu lakini inaonekana nia yako wewe ni kumuonyesha kuwa unaelewa na kuheshimu matakwa yake japo sio lazima uyatimize yote.

Huyu ni moja kati ya wenza unatakiwa uishi nae kiakili otherwise umeingia pabaya na kwa wewe unamuweza kwa maana ni mtu mwenye sifa ya uchambuzi.

Ni mtu mwepesi sana kujiliza lakini kuwa makini na machozi yake wakati mwingine sio yale unayomwambia ndio yanamliza bali kumbukumbu na mitizamo yake ya nyuma ndio humfanya awe emotional out-busted (emotional damage)

SEHEMU ZA HISIA:

Sehemu yake ya hisia ni sehemu zake za siri kama hana dildo chini ya uvungu basi jaribu kutafuta sex toys umuwekee karibu haijarishi umri wake.

Ghafla tu huwa na mihemko ya kufanya tendo na ghafla tu hukata.

Una nafasi kubwa ya kusalitiwa akiwa hana hizi toys.

Kama hana muonyeshe kujali kwa kumnunulia it's awkward but you need to strength hayo mawadah.
 
Negative kwa maana ipi wakati wanakuuliza kilinge chako? We majnun tena sakaran wa kutupwa. Sitaghafiru mara hata mia lakini wewe ni mujurumuun wa hali ya juu ibn muthinaq mkubwa
 
Hufanyi bure unajenga mazingira na kutangaza upuuzi wako ili baadaye utafutwe na kuwaibia wajinga na washirikina wenzako. Wote huanza hivi. Kimsingi JF wanapaswa kukuban kwani unatumia jukwaa lao kutangaza upuuzi waka bila malipo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…