Nitajie uwingi wa maneno haya!

Nitajie uwingi wa maneno haya!

flintsky

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2016
Posts
654
Reaction score
746
Kuna vitu vina wingi wake ila kuvitaja katika wingi inaleta porobulemu! Mfano hapo chini.
1.chips
2.chupi
3.kuku
4.soda
5.papuchi
6.samaki.

Kama unajua maneno ya kuwakilisha kwa wingi hapo juu tutajie
 
2: vyupi
4: vyoda....

porobulemu...mh!!!!!!
 
hapo ushaandika Chips tayari ni wingi
 
Chips tayari iko katika wingi wake, pamoja na soda na hiyo namba 5 si maneno ya Kiswahili
 
Jamani watu wengine bana[emoji57] papuchi imekuwa muhimu kama ibada vile,haisahauliwi takribani kwny kila page,lazima itajwe[emoji23] mkizitaja sana mtasababisha zijing'ate
 
Jamani watu wengine bana[emoji57] papuchi imekuwa muhimu kama ibada vile,haisahauliwi takribani kwny kila page,lazima itajwe[emoji23] mkizitaja sana mtasababisha zijing'ate
Hazina Meno ni vibogoyo... zaidi zilalia pwa pwa pwa
 
Weka ma mwanzoni mwa neno,ndo hvyo tena huku sukuma land huwa hatuhangaiki.mfano mapapuchi,mamboo,mapaja,madenda,mautamu n.k we humsikiagi hata baba *** anasemaga maajira badala ya ajira hakuna tz?
 
Niko mbioni kujitoa JF, where is the home of great thinkers
 
Back
Top Bottom