1.chips = Ushaweka jibu tayari
2.chupi = Chupi Nyingi
3.kuku = MaKuku
4.soda = Kreti ya soda
5.papuchi = ? Unatutafutia Ban wewe si bure... Kirigi
6.samaki. = Masamaki mwenye Nyumba 80 hivi kesi yake inaendeleaje?
Hazina Meno ni vibogoyo... zaidi zilalia pwa pwa pwaJamani watu wengine bana[emoji57] papuchi imekuwa muhimu kama ibada vile,haisahauliwi takribani kwny kila page,lazima itajwe[emoji23] mkizitaja sana mtasababisha zijing'ate
Niko mbioni kujitoa JF, where is the home of great thinkers
Niko mbioni kujitoa JF, where is the home of great thinkers