Technophilic Pool
JF-Expert Member
- Jan 18, 2024
- 2,597
- 3,965
Kama mjuavyo hosting ya blog ni gharama hasa word press .
Sasa watalamu nitajieni Hosting server za bei chee kuliko zote
Sasa watalamu nitajieni Hosting server za bei chee kuliko zote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unauzoefu nayoWebhosting | Fast and Reliable
The quick and cheap way to your own homepage with entry or business packages. Rapid setup and included supportwww.hetzner.com
cPanel Shared Hosting - NameCrane
Fast, simple, straightforward cPanel web hosting plans to get your website online quickly.namecrane.com
$2 kwa mwezi ama $2 miezi 10? Kama sijakuelewa.
Sina ila zinakuwa Recomended zaidi.unauzoefu nayo
Wewe unataka hosting ya bure yenye .wordpressKama mjuavyo hosting ya blog ni gharama hasa word press .
Sasa watalamu nitajieni Hosting server za bei chee kuliko zote
kama ivo ndioWewe unataka hosting ya bure yenye .wordpress
Hiyo bila access ya CPANEL ndo nnNinayo hosting plan ninaweza kukuhostia lakin bila access ya cpanel hivyo nitainstall kila kitu kwa akili yakov were utakuwa admin to Kwenye website yako, nilipe angalau 6 months (2×6) au mwaka
Kwanini usilipie tu mana ushindani ni mkali bila kulipia hosting google search wanakuwa kama hawakujuikama ivo ndio
dah mkuu kama huwezi kugoogle vitu vidogo kama hivi AI zimejaa komaa na kilimo tuHiyo bila access ya CPANEL ndo nn