Hii ni series ya kizungu inayohusiana na baadhi ya polisi kupata hela za magendo tofauti na mshahara wanaolipwa kihalali na Serikali wanachokifanya wanaficha hela hizo magendo kwenye magodown na Kuna mwingine anaficha kwenye paa ya nyumba baadae watastukiwa na Serikali so naomba nitajie hii series inaitwaje?