Nitajihusisha na financial markets maisha yangu yote

nilikata tamaa kabla hata ya kuanza,

saivi i have other passions😂 nilipiga babypips pale
Hujachelewa unaweza kujifunza atleast una knowledge kidogo so hizi ICT CONCEPTS hazitakupiga chenga.

Kuna mdada mmoja anaitwa Aviona forex pale YouTube ni mwanafunzi wa ICT yeye amesummarize strategy ya ICT 2022 MENTORSHIP (ICT ana videos 41 pale). Kama uko ready naweza tuma link ukafatilia then ukishamuelewa utafute channel ya INNER CIRCLE TRADER subscribe, utakutana na Michael mwenyewe. Unaweza jifunza siku za wikiendi tu na Wala usiwe na haraka forex Iko muda wote hata ukianza 2024 sio shida kikubwa upate Knowledge.

Knowledge for free, kinachobakia ni discipline yako tu na workrate basi.
 
Alafu unakuta wanataka pesa nyingi ya mentorship. Kiufupi mi nilibahatika kutotoa pesa kwa mentor yeyote zaidi ya mmoja tu tena yule nilitoa pesa ya profit niliyopata Kwa kutrade Boom 500, nilikuwa profitable karibia two weeks nikaona anafundisha SMC Kwa pesa ndogo alafu mi ndo naisikia sikia.
 
dah, ile shauku imeshakufa😅 sidhani kama ntaweza
 
Mkuu nimekukubali hii industry unaielewa vyema hubahatishi
 
Bro elimu ya macroeconomics wewe umejifunzia wapi? Maana naona bado nina safari kidogo kwenye hii game
 
For be honest nimeifatilia hii thread mpka hap kun ki2 kikubwa san nimejifunza hope ntaendelea kujifunza ving bless up for ol
Good for you bro, na hili ndo lilikuwa lengo langu ili tujifunze vitu vingi katika industry hii ambavyo pengine nje huko watu wamekuwa wakipotosha.
 
Hivi SMC na ICT tofauti yake ni nini?
 
So utaona vitu vyote vilivyopo kwenye SMC vipo kwenye ICT na ICT imekuja na mambo mengi na kwa upana zaidi.
 
Tatizo la forex inakufanya udharau kazi zingine unakuwa unajipa moyo utaingiza hela umelala
Bro tunashauri kama hujawa vizuri kwenye Trading kama una kazi yako unaifanya ishkilie na wala usiidharau, maana trading might dissapoint you na ukawa broke,

Ila utakapokuwa tayar vizuri na unaona unaingiza profits zaidi ya kazi unayoifanya hapo maamuzi sasa ni yako, ila hatushauri katika hatua za kujifunza uache kazi yako eti kwa kutegemea trading, usichoambiwa ni kuwa biashara zote zina risk na risk ya kwenye trading pengine ni kubwa zaid hasa usipokuwa na knowledge nayo,

Tafuta knowledg ya Trading hii ndo kitu ya kwanza tunashauri, ukifanya trading bila kuijuwa kiundani then hapo tunasema unafanya gambling.

Aliwahi kusema Aliko Dangote " siingii/siweki pesa kwenye biashara yyte ile mpaka niijue A-Z" so ijue trading ili usiwe katika wanaifanya trading kama gambling.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…