technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,706
- 52,355
Kunywa gongo tu mkuuWakishinda Yanga mimi nitaacha bia rasmi kuanzia leo
Mjuba anza kunywa fanta orange kuanzia leo.Wakishinda Yanga mimi nitaacha bia rasmi kuanzia leo
[emoji41]Wakishinda Yanga mimi nitaacha bia rasmi kuanzia leo
Teh tehWakishinda Yanga mimi nitaacha bia rasmi kuanzia leo
Hahahah nitaanza kupiga wine tu sa ivi. Kuna mitimu sio ya kuidhamini kabisa naanza kukosa Tusker zangu hivi hiviMjuba anza kunywa fanta orange kuanzia leo.