Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mara nyingi kama gari imechukulia mkopo, kadi original ya gari hubaki sehemu iliyokopewa.Kwa wazoefu naomba kufahamu hili,
Nitajuaje kuwa gari ninayotaka kununua Kwa mtu kaichukulia mkopo sehemu?
Kuongezea ni kwamba mkataba huwa unatakiwa kuweka wazi kabisa kuwa baada ya kuuziana hiyo gari hakutakiwa na liabilities nyingine zozote ambazo hazikuwa disclosed awalily ya yote.Mara nyingi kama gari imechukulia mkopo, kadi original ya gari hubaki sehemu iliyokopewa.
Hivyo kabla hujanunua hakikisha unaiona kadi original na sio copy.
Ukiona unazungushwa kupewa original card basi jua kuna shida mahali.