Nitajuaje Kama Niko kwenye list Credit Reference Bureau Tanzania?

Kiazi Kitamu

Senior Member
Joined
Feb 16, 2013
Posts
122
Reaction score
126
Asalaaam wanajamvi! Kuna kitu kinaitwa Credit Reference Bureau kinahusika na list ya madeni yasiyolipwa na kuripotiwa kwao kutoka taasisi za kifedha(wakopeshaji)
Nahitaji kufahamu haya yafuatayo:-

1. Je nitajuaje Kama Niko kwenye list ya CRB. Na taasisi zilizo ripoti Jina langu.

2. Je nitafutaje mkopo na Jina langu kwenye ripoti ya taasisi za CRB?

Msaada wenu tafadhali
 



Duh ndo nini kaka?

mashoga tena?

halafu unafuta baada ya kustukiwa
 
Msaada wenu
 
Umeongelea kuhusu credit bureaus, je inahusika na watu binafsi au pamoja na makampuni. Kuna kampuni zimeshindikana katika suala la kulipa madeni.
 
CRB ni mfumo rejea wa mikopo. Ni mikopo yote iliyolipika na isiyolipika (hata kama bado ni mkopo endelevu unaolipwa kwa wakati). Kama umekopa benki au taasisi rasmi za ukopeshaji jina lazima liwekwe kwa ajili ya rejea. Hii taarifa huwezi kuitoa hata kama umelipa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…