Umeingia vibaya,..anyway karibu da ZindunaKuna ile hadithi ya kufikirika kuhusu mwanzo wetu sisi wanadamu. Kwamba Mungu alimuumba Adam kisha akamlaza usingizi akamtoa ubavu wake mmoja na kumuumba Eva na kumfanya mkewe.
Sasa mie nitajuaje nimetoka kwenye ubavu wa nani? Maana wanaoniambia eti nimetokana na ubavu wao ni wengi
Just curious!!!!!!!!!
mmmmmmmh_nimekupata sasa!Mwezi mtukufu wa Ramadhwahi huwa nafunga, na hivi majuzi kabla ya Idd el Hajji nilifunga pia, lakini mbona Mungu hajanifungulia!?
Mwezi mtukufu wa Ramadhwahi huwa nafunga, na hivi majuzi kabla ya Idd el Hajji nilifunga pia, lakini mbona Mungu hajanifungulia!?
Yap_nadhani hata wewe umempata mkuu.Inaonekana hauamini vitabu ndo maana unasema hadithi ya kufikirika,kwa ushauri kama unataka mtu positive tena,fikiri positive!
Yap_nadhani hata wewe umempata mkuu.
Mungu huwa anajibu kwa wakati wake na sio ule muda tuutakao sisi binadamu. Wengi wetu tunapokuwa na shida tunataka Mungu ajibu muda huohuo tunaofunga na kuomba. Hivyo vuta subira kwenye muda muafaka Mungu utaona amejibu ombi lako.