fabinyo JF-Expert Member Joined Aug 5, 2011 Posts 3,042 Reaction score 2,221 Nov 8, 2011 #21 naona umekuja kwa kasi,anyway!kizazi hiki mmetoka kwenye mbavu mbalimbali,so u fit anywhere.
Gaijin JF-Expert Member Joined Aug 21, 2007 Posts 11,812 Reaction score 5,298 Nov 8, 2011 #22 Zinduna said: Mwezi mtukufu wa Ramadhwahi huwa nafunga, na hivi majuzi kabla ya Idd el Hajji nilifunga pia, lakini mbona Mungu hajanifungulia!? Click to expand... Hivi Waislam wanaamini kuwa Mke wa Adam alitolewa kwenye ubavu wake?
Zinduna said: Mwezi mtukufu wa Ramadhwahi huwa nafunga, na hivi majuzi kabla ya Idd el Hajji nilifunga pia, lakini mbona Mungu hajanifungulia!? Click to expand... Hivi Waislam wanaamini kuwa Mke wa Adam alitolewa kwenye ubavu wake?
matungusha JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 594 Reaction score 126 Nov 8, 2011 #23 Moyo wako utasema siku ikifika.
N Nsuri JF-Expert Member Joined Oct 3, 2011 Posts 1,013 Reaction score 562 Nov 8, 2011 #24 Unatakiwa uangalie wewe unataka mtu wa namna gani?? unataka mtu wa vigezo gani?? chukua mda kujua tabia ya mtu na pia usikurupuke kufanya maamuzi...husije juta baadae...
Unatakiwa uangalie wewe unataka mtu wa namna gani?? unataka mtu wa vigezo gani?? chukua mda kujua tabia ya mtu na pia usikurupuke kufanya maamuzi...husije juta baadae...