Nitajuaje NVIDIA graphics card ni feki au original

Nitajuaje NVIDIA graphics card ni feki au original

Ugeni wa mambo bila maarifa umeliza wengi naombeni mnisaidie kupunguza hasara,

Nawezaje kukagua graphivs card ya NVIDIA ni feki au original
Angalia kwanza imetengenezwa na nani kama ni MSI tumia MSI afterburner kama sijakosea jina, iki i detect basi ni original.
Manufacturer wengi hua na Software zao kwa ajili ya Settings mbali mbali, so jaribu manufacturer wako.

Pia tumia Benchmark tools mfano 3dmark then score utazo pata compare na Official score za hio card, zimejaa online. (Hii ndo reliable hazitakua exactly ila pia hazitatofautiana sana.)
 
Hapo si baada ya kununua, vipi kama ndio anataka kununua?.
kagua zile stickers za maelezo ya bidhaa kama zinaendana na hio bidhaa vitu fake mara nyingi huwa vina:
Makosa ya kiuandishi
mf. badala ya kuandika specification wanaandika spacefication

...
Taarifa za bidhaa kwenye sticker haziendani na bidhaa
husika mf. Graphics card ni ya GFX400 ila sticker imeandika GFX780
...
Quality ndogo ya sticker na haina nembo za Quality mfano. nembo ya CE,QC
...
Kingine nunua bidhaa yenye warranty uelewane nae kama itakuwa na tatizo urudishe tu.
 
Daah hii case kama unanunua online naona kama ni ngumu sana. Japo inawezekana.


Kama ni online angalia review za wanunuaji wengine zingatia sana hilo.
 
Ushauri wangu kwako ni huui., Kama sio mzoefu kwenye hio game nunua vifaa vya Computer Online.
Kidogo umakini unahitajika ila nafuu, utapata na unafuu wa bei pia.
GPU ya 150K, mbongo anataka laki 3.
Bongo bei za dukani zimenishangaza zipo juu vibaya mno, card ya laki 4 inauzwa laki 7, ni heri utafute second hand / mtumba huko fb au uagize mpya online
 
Nvidia GTx 1070

psu ina 400 W
Kama PSU ina 400W achana na 1070, nenda AliExpress chukua rx580 then i undevolt, utaweza kuitumia kwa PSU hiyo hiyo.
Card za AMD hua zinakuwaga na nguvu sana, hiyo 1070 itampiga rx 580 kwenye paper lakini price to performance rx 580 iko njema, shida umeme tu, na uki undervolt inaweza tumia hata 100-120W under load.
 
Back
Top Bottom