wastani kwa idadi
JF-Expert Member
- Jun 28, 2024
- 503
- 1,432
Tumia utility ya GPU-Z uidownload kwenye PC yako then itumie kuangalia kama hio graphics card ni OGUgeni wa mambo bila maarifa umeliza wengi naombeni mnisaidie kupunguza hasara,
Nawezaje kukagua graphivs card ya NVIDIA ni feki au original
Angalia kwanza imetengenezwa na nani kama ni MSI tumia MSI afterburner kama sijakosea jina, iki i detect basi ni original.Ugeni wa mambo bila maarifa umeliza wengi naombeni mnisaidie kupunguza hasara,
Nawezaje kukagua graphivs card ya NVIDIA ni feki au original
Hapo si baada ya kununua, vipi kama ndio anataka kununua?.Tumia utility ya GPU-Z uidownload kwenye PC yako then itumie kuangalia kama hio graphics card ni OG
kagua zile stickers za maelezo ya bidhaa kama zinaendana na hio bidhaa vitu fake mara nyingi huwa vina:Hapo si baada ya kununua, vipi kama ndio anataka kununua?.
Ushauri wangu kwako ni huui., Kama sio mzoefu kwenye hio game nunua vifaa vya Computer Online.Hapo si baada ya kununua, vipi kama ndio anataka kununua?.
Bongo bei za dukani zimenishangaza zipo juu vibaya mno, card ya laki 4 inauzwa laki 7, ni heri utafute second hand / mtumba huko fb au uagize mpya onlineUshauri wangu kwako ni huui., Kama sio mzoefu kwenye hio game nunua vifaa vya Computer Online.
Kidogo umakini unahitajika ila nafuu, utapata na unafuu wa bei pia.
GPU ya 150K, mbongo anataka laki 3.
Unahitaji card gani.Bongo bei za dukani zimenishangaza zipo juu vibaya mno, card ya laki 4 inauzwa laki 7, ni heri uagize au ununue second hand / mtumba
Kama PSU ina 400W achana na 1070, nenda AliExpress chukua rx580 then i undevolt, utaweza kuitumia kwa PSU hiyo hiyo.Nvidia GTx 1070
psu ina 400 W