Nitajuaje Original Rolex

Ryzen

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2012
Posts
7,301
Reaction score
8,706
Kidogo mm sio mjanja katika ulimwengu huu wa saa maana nimebase saana upande wa Simu/Computers, je nitajuaje kama Rolex watch ni Original
 
Serial number...za original zinakuwa marked vizuri sn na zinang'aa ukimulika na mwanga


Cyclops...ile sehem ya kuonyesha tarehe kwenye original rolex inakuwa na lens


Micro-etched crysta....rolex za kuanzia mwaka 2002 zinakuwa na tiny rolex logo katika ile sehem ya saa 6(6 o'clock position) hii logo ni ndogo sn utaiona kama ukitumia lens tu
 
Asante sana Mjuzi Nokia embu Niambie kwa Hapa Bongo Rolex naeza Kuuziwa kwa Sh Ngapi?
 
hii hapa og niliagizia kutoka ulaya 6000$
 
Kumbe unanikumbuka nikajua ulisha nisahau maana mods wamefanya Ban kama kitu cha kawaida kwako.
Wananionea tu mkuu ila nikipata mtu wa kuwa ananiombea msamaha itakuwa vizuri zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…