Nitajuaje startup program in wn 7

Paul S.S

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2009
Posts
6,407
Reaction score
3,260
Lappy inaanza kuwa nzito hasa unapoiwasha inakuwa busy kwa muda mrefu.
Nitajuaje hizo startup program na namna ya kuzipunguza katika hp g5000, OS window 7.

Pia nikiweka vi mb vyangu vinaliwa fasta, nimedisable updates za window na antivirus lakini naona bado, kunakitugani kingine kinaweza kuwa kinajiupdate automatic zaidi ya wn na av?
 
unaposema inaboot muda mrefu ni dakika ngapi inachukua kuwaka?
 
unaposema inaboot muda mrefu ni dakika ngapi inachukua kuwaka?

Mkuu inaweza kuchukua hata dakika 5 na kuendelea tofauti na zamani.
If you know please let me know
 

Kuhusu bandwidth hakisha hakuna aaplication na program zako nyingine zinazoweza kuwa zinafanya automatic update

Unaweza kuinstall tool ya kumonitor real time network bandwidth usage uone . Zina display data kwenye graph. Itakusadia kukuonyesha kama kuna download zinafanyaika hata wewe ukiwa hujabofya kitu chochote na ni aplication gani

Kuna tool moja nimeisahu jina but zipo nyingi google nikikumbuka nitakuwekeaa hapa. ile ilikuwa nzuri sana
 

Mkuu thanx a lot, nikifika home ntafanya hilo zoezi.
Kuna software moja niliinstall inaitwa ares ya kudownload vitu sasa nikitaka kui unstall inagoma kutoka nimejaribu kuitoa kwa safe mode pia imegoma.
Mwisho kuna ka file "cmllg" nikifungua local disck(c) nakutana nako nikikadelete kanaonekana hakapo nkirudi nakakuta tena, nikikafungua kana minimize window inakuwa nyembamba kwa upana, yaani page hiyo nilio fungua urefu unabaki ule ule isipokuwa inajivuta kulia na kushoto inabakia nyembamba katikati. sijui ni kirus au vipi, antivirus yangu ni norton 2010
 

Mkuu inawezekana hiyo ares uliuinstal ndivyo sivyo. Unaweza kufanya moja kati ya haya

  • Install tena ares alafu uinstall kwa kutimia add and remove program . Wakati una iunstall hakikisha umefuta mafile yote yanahusiana na hiyo ares

  • Kun program inaitwa revo unisntaller. Hii ni program nzuri inafanya complete ya unisntalltion ya application amabyo huitaji. inaondoa hata mafaile amabyo program nyingi huwa zinabakiza hata baada ya uninstalltion. Google it
Inawezekana hilo file cmllg sio virus bali kuna application inaliihitaji kurun. kwa hiyo hiyo application ikiona halipo inalitengeza. inaweza kuwa ni nasome sort of temporary file linalohitajika na application fulani .

Just check extension ya hilo file kama ni cmllg.bat au cmllg.exe, etc na size yake
 

Mkuu nimefanikiwa kuitoa ares kwa kudownload revo uninstaller na taka taka zingine kibao nimezitoa, file la cmllg nimeachana nalo bado hiyo software ya kujua matumizi ya net kama unaijua inaitwaje nipe jina ntaigoogle
Thanx again broda
 
Mkuu nimefanikiwa kuitoa ares kwa kudownload revo uninstaller na taka taka zingine kibao nimezitoa, file la cmllg nimeachana nalo bado hiyo software ya kujua matumizi ya net kama unaijua inaitwaje nipe jina ntaigoogle
Thanx again broda

ile aplication sikumbuki jina lakini nimejaribu kucheki nimeona hii pia itakufaa

Dowload trial version ya siku 15 kwanza hapa Thank you for downloading Capsa Demo - Colasoft
Jinsi ya kumonitor bandwidth yako soma hapa How to Monitor Network Traffic - Colasoft

Ina vitu vingi sana vingine vinaweza visiwe muhimu kwako.but itakupapicha nini aapplication gani inakula bandwdth yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…