Nitajuaje.....?.

Joined
Jan 1, 2013
Posts
74
Reaction score
8
Habar wadau, mm kijana wa kiume naomba kufaham iwapo zipo njia mbadala za kuweza kufaham iwapo una ukamilifu au upunguf wa nguvu za kiume bila kuhusisha tendo la ndoa au ngono? niliwah kuulza kwa mtu mmoja mshaur maarufu akanitajia moja tu kwamba n pale unapoamka asubuh @cku na kuona uume umesimama bt hakutaka kunifafanulia zaid kwa madai nikamuone ana kwa ana, hvyo naomba mawazo yenu wadau wa jf doctr, akhsanten.
 
ukiweza kunyanyua ndoo ya maji na kumsaidia mama kufanya kazi za nyumbani, ujuwe una nguvu za kiume za kutosha...
 

Najua kuna imani mbalimbali,au malezi mazuri katika familia huwa hawaruhusu kufanya tendo la ndoa.je mwana ume atajuaje kama fimbo ya Haruni inachipuka? njia pekee ni kama ulivyoambiwa na mdau kuwa asubuhi mara kwa mara mwanaume aamukapo asubuhi huwa mnara umesimama, ni kutokana neuroreflexes kuwa stimulated kwenye uume ambayo hutokea katika hatua ya mwisho ya usingizi ambayo hutokea karibu na asubuhi,nerves kwenye uume zinatoa nitrous oxide inasaisia ktk dilatation, inayo sababisha kuongezeka kwa blood flow kwenye uume na kusababisha uume kuvimba na kusimama kiwimawima kama majeshi.hali hii ni ya kawaida hata watoto nao huwatokea kutokana na maelezo ya hapo juu.

lakini mtu akiwa amefanya tendo la ndoa usiku siyo rahisi kuamka amesimamisha kutokana na ukweli kwamba wakati wa ku sex uume husimama,hivyo hatua hizi za dilation na blood flow linakuwa linafanyika,hivyo hakuna haja ya kuendelea na zoezi hili sympathetic nervous system inasimamisha zoezi hilo.

hii ni hali ya kawaida kwa afya na kuimarisha misuri inayohusika na erection(udindishaji) ili siku ukioa ukamkamata mama Ngina lazima anene kwa lugha kabla ya kukuambia ubarikiwe.

lakini kwa watu ambao wao kutamani si dhambi akimuangalia tu dada maeneo yanayo mvutia may be akiona titi la msichana linaonekana,pacha wazi mimacho humtoka uume unasimama hilo linatosha kujua kama fimbo ya Haruni inachipuka.
lakini kwa wale wa imani kuwa kutamani ni dhambi hata akiona mambo kama niliyo taja sana sana atakemea roho ya tamaa ipishe mbali yeye siyo rahisi kusimamisha hata akimuona yuko uchi,hii from my experience.

Hata hivyo si lazima kila siku usimamishe asubuhi kuna siku unaweza usisimamishe.na wale ambao kwao kufanya tendo la ndoa ni kawaida ikitokea asubuhi hasimamishi,hata akiona maeneo yanayomvutia kwa msichana may be yako wazi hasimamishi huyo kunaweza kuwa fimbo ya Haruni haitingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…