Take it easy VeraCity, you are the W of S you know??? Mchangiaji ametoa maoni yake mazee...
Hilo la uchagani mbona umelikalia kimya?
MTM,
I know hwt u r driving at hahahahahah....
I AM NOT AN AUTHORITY ON TRIBAL PROPENSITIES LOL...
Ila kwa vile JF ni resource for learning, nitachangia kidogo on this subject maana nina kaulewa kidogo.
Kwanza kabisa tatizo unalotaka nilisemee haliko katika kabila moja au jamii moja zaidi ya nyingine.Mahuasino ya kingono baina ya ndugu wa damu ( incest) ni kitu kipo na ni kinyume na matarajio ya jamii nyingi.
Jamii nyingi hazishabikii incest hata kidogo. Hii ni natural instinct ambayo inajengeka bila kufundishwa.Binadamu wana an intense natural aversion to incest. Zipo aina nyingi za wanyama/hayawani ambao nao wana avoid incest.na miongoni mwa wanayama wenye incestuous tendencies kama Cheetah utaona wako kwenye verge of extinction.
Kuwepo na miiko ya mahusiano ya namna hii ndiko huleta social stability katika jamii na pia kuhakikisha kizazi hakijizalishi na kuendeleza mapungufu yanayoletwa na inbreeding - hata kwa wanyama ni hivyo hivyo.( Angalia jamii zenye kuoana wenyewe kwa wenyewe utaona kuna walemavu wengi na magonjwa ya genetic)
Kama nilivyosema kwenye thread yangu, Watoto wakiwa wadogo, wa kike humpenda baba zaidi na wa kiume humpenda mama zaidi.This is also very natural kwa vile tumeumbwa hivyo kwa sababu maalum ya kutuwekea balance itakayosaidia ukubwani .Hali hii hujakubadilika watoto wanapojitambua na kuanza kuelekea kwenye ujana ambapo wote huweka social distance na wazazi wa opposite sex.Kwa wale wanaoshindwa kuwa na hiyo distance,inapelekea matatizo .Ukengeufu wa wahusika hasa wale walio katika uwezo juu ya wengine mfano baba anayekuwa na mahusiano na mwanae..hujipatia mwanya kutimiza matakwa yao na inaanzia mbali na hutumia mamlaka zaidi au vitisho.Hii ni abuse na hutokea sana kwenye familia nyingine - baba na binti( very common), mama na kijana wa kiume ( rare), kaka na dada,wajomba, nk.
Ndio maana sheria iko strict na abuse ya namna hii ambapo incest inatafsiriwa kama
"the imposition of sexually inappropriate acts, or acts with sexual overtones ... by one or more persons who derive authority through ongoing emotional bonding with that child."
Nikirudi kwenye hoja ya Mtu B na wengine Mzazi/baba anaweza kumrubuni mtoto kwa kumtimizia kila atakacho, kujiweka karibu kupita kiasi hadi anakuwa na uwezo wa kufanya chochote atakacho na mwanaye! Kwa msingi huu huwezi kusema ni kabla moja tu ndio wanaweza kufanya abuse.
Kitu ambacho wengi wanakifumbia macho na kujifanya wahajui ni kuwepo na incest kiwango kikubwa sana katika familia nyingi across tribal/race or religious affilitiations.Sheria pia inalijua hili na ndio maana
huwezi kufungua mashtaka ya incest bila kupata kibali cha DPP vinginevyo mahakama zingefurika na kesi za incest na kuacha majambazi wakiwa wanapeta mitaani.I can go on and on about this subject but suffice it to say that INCEST IS BIG THAN WE MAY WANT TO BELIEVE.