Golden Digital Lab
Member
- Feb 21, 2023
- 7
- 12
Habari,
Watu kadhaa wanapenda kuanza kazi ya kupiga picha, au wengine ndio wanaanza.
Kuwa na ujuzi ni jambo zuri linaloweza kukusaidia iwe unataka picha za binafsi au mpiga picha kibiashara.
Basi kama unahitaji kujifunza skills kadhaa unaweza wasiliana na mimi tusaidiane.
Na tunaweza kufundishana online kupitia program ya Zoom Meeting.
Popote ulipo tunaweza kuwasiliana, kunipata Piga simu au whatsapp kwa 0767330618.
Napatikana Kigamboni Dar.