Heshima kwako! Ubarikiwe sana kwa mchango wako!Mfano:-
Breakfast
Muhogo/magimbi/kiazi/ndizi/ ya kuchemsha +kachumbari+ yai la kukaanga + chai ya rangi au ya maziwa baadae kidogo unashushia juisi ya chungwa au kula machungwa yenyewe.
Chapati+ maharagwe/kunde/mbaazi/ +chai ya maziwa au ya rangi ukashudhia chungwa au tikiti baadae.
Mkate wa kutoast unaupaka cheese + legumes kidogo (maharage au nduguze) + juisi ya chungwa.
Mkate wa kutoast+ yai la kukaanga + parachichi/guacamole + juisi ya tikiti maji
Smoothie za matunda tofauti tofauti mfano waweza saga maziwa, ndizi,tende, embe, parachichi, papai kwa seti utakapangilia mwenyewe ukashiba siku nzima au Kama upo kwenye diet utachagua matunda yenye nishati kidogo.
Lunch:-
Kama mpenzi wa ugali na wali hapa ndio mahala pa kujilipua.
Ugali (dona au unga wowote wa nafaka ndogondogo Kama kweli unajali mlo kamili) + nyama kavu/samaki + kachumbari na mboga mboga kwa wingi + matunda mepesi (tikiti, tango, parachichi,)
Wali ndondo + kachumbari+ kamchicha/ spinach + matunda mepesi.
Viazi mviringo vya kuoka, kitoweo na salad/ kachumbari nyingii ..
Jioni.
Kama ulikula vizuri mchana basi jioni haina haja ya kujijaza calories zisizo na matumizi, unaweza kulalia either.
Salad ya matunda mepesi (tango, nyanya, parachichi utatupia olive oil, olives na cheese)
Salad ya majani, nyanya, olives, olive oil ukalia samaki au nyama kavu.
Smoothie,
Supu ya mbogamboga
Supu ya kuku
Supu ya samaki.
Humo utatupiamo mbogamboga ziwe nyingi zaidi.
Natumai nimejaribu mkuu unaweza kupangilia kwa mtindo huo kulingana na mazingira yako na vinavyopatikana.
Mkuu, kula ushibe. I mean hakikisha tumbo liko full full. Mengine waachie wazungu.Habarini!!
Kama Kuna kitu kimekuwa kinanitatiza maishani basi ni namna ya kupangilia mchanganyiko wa makundi mbali mbali ya vyakula ili kupata mlo kamili.
Ombi langu kwa anayejua mlo kamili ni nini, anipe mifano miwili mitatu, nile nini na nini ili nipate mlo kamili?!
Mungu akubariki!
Hapa ndipo waafrika tunapoanguka[emoji23][emoji23][emoji23]eti tuwaachie wazungu. Yaani unataka daktari ndiye akuambie kula embe mbivu asubuhi mbili,mchana mbili na jioni mbili. Tubadilike nasi tupate afya nzuri siyo kujaza tumbo mkuuMkuu, kula ushibe. I mean hakikisha tumbo liko full full. Mengine waachie wazungu.
Afrika quantity ndio priority, wala sio quality. Hakikisha tumbo linakuwa full, hata kama unakula ugali na kushushia uji wa mahindi.Hapa ndipo waafrika tunapoanguka[emoji23][emoji23][emoji23]eti tuwaachie wazungu. Yaani unataka daktari ndiye akuambie kula embe mbivu asubuhi mbili,mchana mbili na jioni mbili. Tubadilike nasi tupate afya nzuri siyo kujaza tumbo mkuu
Binafsi naamini kwa kula mlo kamili tunapata mpaka afya ya ubongo. Tunakuwa uwezo mzuri wa kufikiri. Kula hovyo kunaweza kupelekea hata kupata magonjwa badala ya kupata afya! Waafrika tuna haki pia ya kula vizuri! Inawezekana sikula vizuri hapo kabla lakini natamani sana wanangu wale vizuri wapate afya na akili pia. Ahsante kwa mchango wako!
Ubarikiwe mno! Nimejifunza mengi, ahsante sana!Jitahidi sana kulimit sehemu wanazokula, hakikisha watoto wanakula nyumbani na si sehemu nyengine Kama hakuna sababu ya kufanya hivyo. hii itakupa uhakika wa kile wanachoandaliwa kua ni salama na chenye faida kwa afya ya mtoto.
Epuka sana fast foods, haziongezi chochote zaidi ya calories na risks za kupata magonjwa mabaya.
Muhamasishe mama watoto awatengenezee healthy treats nyumbani ili wanapopata hamu ya kutafuna tafuna watafute snacks zenye faida, watoto wanapenda rangi, mnaweza kudesign matunda kwa kuchanganya rangi ikawa kivutio kwao.
Usisahau miongoni mwa vyakula muhimu sana kwa watoto:-
Maziwa,
cheese(jitahidi upate genuine brand Kama uwezo upo mfano kiri , al marai ),
salmon,
sardines,
Parachichi,
Carrots,(hizi unaweza ukawazoesha wakawa wanatafuna Kama snacks)
Biringanya,
ufuta nk.
Vipo vingi sema hakikisha vile unavyoweza kumudu unawapa watoto Mara kwa Mara.
Kataa vitu Kama soda, jus cola and likes, pipi, biskuti, chama and other funny names kuingia ndani ya nyumba yako wala kupewa watoto wako, fanya iwe sheria itasaidia somehow kupunguza au kukata matumizi ya hivyo vitu.
We're what we eat......ukiangalia sana kuhusu hili athari yake ipo moja kwa moja kwa vijana wetu wa tunaokula sembe na kachumbari....uwezo wao wa kufikiri unafifia mno as days goes on....hawawi critical thinkers na wanabehave in very annoying manners, pamoja na utandawazi, lishe duni inachangia kwa kiasi kikubwa sana kuwabomoa...........
majanga yanakua mengi kwa sababu watu hawazinourish akili zao ziwe kwenye optimum level ya matumizi.
Wazee wetu walikua bora kwa sababu wao walikua na access na chakula asili na katika ubora wake.....wazungu na jamii nyingi nje ya Africa mpangilio wa chakula ni utamaduni unaoheshimiwa na kurithishwa kwa hiyo watoto wanakua wakiwa na uelewa na nidhamu kuhusu eating habits.
Mlo kamili : chukua sahani yako imagine unachora msalaba katikati ya sahani ili upate vipande (robo robo) 4. Robo ya kwanza iwe ni vyakula vya wanga (ugali, wali, mihogo, chapati, mkate nk)... Robo ya pili iwe ni vyakula vya protini na mafuta (nyama, samaki, kuku, cooking oil, mtindi nk)... Robo ya tatu vyakula vyenye vitamins/madini mbalimbali (dagaa, Karanga/nuts mbalimbali)... Robo ya mwisho ni mbogamboga na matunda....Binafsi naamini kwa kula mlo kamili tunapata mpaka afya ya ubongo. Tunakuwa uwezo mzuri wa kufikiri. Kula hovyo kunaweza kupelekea hata kupata magonjwa badala ya kupata afya! Waafrika tuna haki pia ya kula vizuri! Inawezekana sikula vizuri hapo kabla lakini natamani sana wanangu wale vizuri wapate afya na akili pia. Ahsante kwa mchango wako!
Umenipa akili mpya! Ahsante sana kwa mchango wako. Nimejifunza pakubwa sana, Mungu akubariki sana!Mlo kamili : chukua sahani yako imagine unachora msalaba katikati ya sahani ili upate vipande (robo robo) 4. Robo ya kwanza iwe ni vyakula vya wanga (ugali, wali, mihogo, chapati, mkate nk)... Robo ya pili iwe ni vyakula vya protini na mafuta (nyama, samaki, kuku, cooking oil, mtindi nk)... Robo ya tatu vyakula vyenye vitamins/madini mbalimbali (dagaa, Karanga/nuts mbalimbali)... Robo ya mwisho ni mbogamboga na matunda....
Kuna siku nilikula tikiti tu nikalala....tumbo lililalamika usiku kucha, wengine tumezoesha matumbo kukaa full na vitu vizito vizito hadi sio vizuriMkuu, kula ushibe. I mean hakikisha tumbo liko full full. Mengine waachie wazungu.
Tumbo langu limezoea kukaa likiwa "top top"Kuna siku nilikula tikiti tu nikalala....tumbo lililalamika usiku kucha, wengine tumezoesha matumbo kukaa full na vitu vizito vizito hadi sio vizuri
Nusu ndoo πππ dahTumbo langu limezoea kukaa likiwa "top top"
Kusema nile matunda tu pekee yake na nilale, siwezi kwakweli.
Labda nile parachichi, tena iwe walau nusu ndoo.
We mwamba noma sana aisee! Nusu ndoo! Upo vizuri!Tumbo langu limezoea kukaa likiwa "top top"
Kusema nile matunda tu pekee yake na nilale, siwezi kwakweli.
Labda nile parachichi, tena iwe walau nusu ndoo.