Usijali mkuu. Hizi ni changamoto ambazo wengi tunapitia. Wakati mwingine unaweza kukosea bila kujua na pia unaweza usieleweke ulichokuwa unamaanisha na haya ndio matokeo yake. The good thing ni kuwa tupo pamoja tena katika ujenzi wa taifa letuMungu wangu,huu ni upendo mkubwa! Sijui nikuambie nini ili kuielezea furaha niliyonayo.
Nashukuru sana mkuu,umeingia ktk kitabu changu cha kumbukumbu.
Ubarikiwe.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] watu wanataka kumjua nifah wamekuja hao wanataka niwatumie wengine nimewatumia za pipi yule dada wa THT.Mkuu naomba uache kuupotosha umma,sijawahi kukutumia picha zangu P.M
Unasema hivi ili iweje?
Hata kama ningekuwa nimekutumia,unasema hapa ili iweje?
Unazijua sheria za JF?
Hahahahah watu wanapenda umbea sana yaani ningekuwa nauza picha zako leo tungegawana manoti.Asikupotoshe,sijawahi kumtumia picha zangu kabisa.
Sijui watu wengine wakoje!
Wapo wengine huwa wanadanganya wananijua,nikiambiwa wanavyonielezea naishia tu kucheka.
JF hii hatari sana [emoji23]
Kafanyaje kwani?
Hata hivyo nimejitahidi sana,nimekwepa mishale mingi lasivyo ningekuwa nachezea ban kila wiki.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Hata hivyo nilifurahiiiiii maana nilikukwepa kule kwenye sports [emoji4].Punguza mihemko....🙂
🙂
Hahahaaaaa kama ungeshatoa mpunga sijui ingekuwaje [emoji23]Duuh. Kumbe nilikuwa nauziwa Mbuzi ndani ya gunia
Sent from my itel it1501 using JamiiForums mobile app
Mkuu tuyaache tu,naweza kukutafuta private.Hahahahaha. Bond ya 10M.
Ebu tuelezee kidogo yaliyokusibu mkuu
Sent from my itel it1501 using JamiiForums mobile app
Nilipekua kila post sijakuona! Una bahati sana.[emoji23] [emoji23] [emoji23] Hata hivyo nilifurahiiiiii maana nilikukwepa kule kwenye sports [emoji4].
Am back [emoji4],thanks.Kifungo huru icho but don wrry u wll bck again......
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] watu wanataka kumjua nifah wamekuja hao wanataka niwatumie wengine nimewatumia za pipi yule dada wa THT.
Mkuu si ungenitonya mapema tupige mpunga?Ningetafuta picha ya mdada anayekaribia kufanana nami.Hahahahah watu wanapenda umbea sana yaani ningekuwa nauza picha zako leo tungegawana manoti.
Ila ni katika utani nifah wala usiweke moyoni.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] usjali Nifah nimejua watu wanatamani sana kujua wanawake wa humu tungeongea mapema tungeingiza mkwanja kama ule wa ungaMkuu si ungenitonya mapema tupige mpunga?Ningetafuta picha ya mdada anayekaribia kufanana nami.
Daaaaamn
Ni sawa mkuu,mwanzo nilimind lakini nimekuelewa sasa.
Kagongesha ' Magari ' mawili kwa wakati mmoja halafu at the end of the day ' kasepa ' na moja na bahati mbaya sana analipigia ' Promo ' kila kukicha utadhani dawa ya Malaria hilo Gari je unadhani lile Gari jingine litafurahi? Naomba niishie hapa tafadhali. Hata hivyo ' keshatoka ' Kifungoni kwani kuna mahala kanipa ' like ' katika ' uzi ' wangu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Nilijua tu.Nilipekua kila post sijakuona! Una bahati sana.
Mkuu hili ni kosa kisheria, unastahili ban.Nifah sitakusahau siku umenitumia picha zako PM kweli watu nimeamini ni wanafiki na wajinga hawapendi maendeleo ya mwenzao