Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,478
- 3,659
Dizain ubongo wako umeshaathirika na Global warming ndo maana fasta unafikiria mengine ambayo watu hawayamaanishi...
ukiwa mtu wa kufikiri lazima ujiulize na maswali ya ziada kwa faida ya badae as far as what if is concerned. Kwa jibu lako inanipa picha kuwa ur mind is limited kwa kiwango flani cha kufikiri
ndio mnaanzaga hivi hivi...
we kupewa kila kitu ktk mapenzi unafikiri nn?
Huyo anayetoa kila kitu, literally ni mtumwa, ana very low self-esteem na haidhuru hajiamini na hajithamini. Kwa maana inaonekana aliuza utu wake.. Nway, provided the portrayed 'everything' is beyond the imaginable..lol
Tehe tehe...hata mwalimu akiamua kukupa kila kitu somo litakwea....i guess! Tuko pamoja, wasiwasi wenu tu.
Hii kauli si ngeni masikioni mwenu. Mara nyingi hutamka wanawake. 'nilimpa kila alichotaka' hii kauli hutolewa ktk mapenzi. Nina hofu nayo kwani mwanamke akisema hivyo anamaanisha anampa/alimpa mapenzi halali na haram, so huwa nawaangalia kwa mashaka sana. Wadau mnasemaje
Mi nadhani anamaanisha anampa mahaba ya kueleweka not necessarily tiGo and the like
Ila Hapo Mkubwa sipati picha kama mwalimu mwenyewe akiwa dume mwenzako.
Hujanipata mkuu... Nenda kwenye mambo ya kikubwa umwangalie mwalimu wa biology then utanipata vizuri...https://www.jamiiforums.com/mambo-ya-kikubwa/30179-romantic-series-amazing-biology-teacher.html
Mwanaume anaposema nimempa kila kitu anamaanisha mali na mapenzi na si zaidi ya urijali wake. Mwanamke, i doubt much. Lazima kabla ya kutoa kauli mzipime kwanza la sivyo wenye mawazo ya kuoverlap tunahisi vibaya, na tuko wengi. Ni sawa na kusema raha jipe mwenyewe...
lugha nyingine ni katika kuleta raha katika maisha ya wawili ukitaka utafsiri kila neno kwa linavyotamkika utapata maana nyingi zaidi, nimempa kila kitu kwa lugha za kawaida bila kuhamisha mawazo ni kuwa amemfanyia au amempa mapenzi yote aliyostahili!
maneno mengine ni katika kuongeza ladha au mashamsham ya mapenzi si kwa maana hizo zinazofikiriwa!! ila kwa kweli nashngaa mno kwanini hili wazo la kwenda kinyume limetawala sana sikuhizi....ninahofu maana mawazo hujenga au huumba isje tu kugeuka kuwa ndio kawaida