Mwendawazimu2
Member
- Nov 29, 2010
- 54
- 5
Kwa wote waliomo humu...
Huo msaada wa kusaidiana mpaka kwenye unyumba...unatafuta kukalishwa vikao wewe
kwa hiyo umeoa ili utandikiwe na kupelekewa maji bafuni kwa kuwa,kwani dada zako walishindwa kukufanyia haya mbona hujawaoa,acheni dharau zenu na kujikweza nyie vijanaume wa sampuli hii,nna kazi nyingine kabisa hapo kwako.kama hamlijui mkae chini mfundwe.
Utoto,wewe kikupelekacho huko nje ni tamaa zako,usituambie eti unamsaidia................muulize vizuri sometimes kuna sababu ya kutokupa unyumba zaidi ya uchovu....kama we mwanaume kweli muage kwamba unaenda kumsaidia,au kama unavyofanya hayo mengine akiona,nenda nae huko................lol

Siku hizi ni "kwa raha mpaka shida na tamaa kiwatenganishe"!Kwa shida na raha!mpaka kifo kiwatenganishe