Nitakuwa likizo ya ramadhani JF

Nitakuwa likizo ya ramadhani JF

Nitakuwa likizo ya Ramadhani
"Enyi mlio amini! Funga imeandikwa kwenu kama ilivyokuwa imeandikwa kwa wale waliokuwa kabla yenu ili mpate kumcha Allah." (Qur'ani, Surah Al-Baqarah, 2:183)
Huna unachoongeza zaidi ya uchawa nenda salama chawa wa Samia
 
Nitakuwa likizo ya Ramadhani
"Enyi mlio amini! Funga imeandikwa kwenu kama ilivyokuwa imeandikwa kwa wale waliokuwa kabla yenu ili mpate kumcha Allah." (Qur'ani, Surah Al-Baqarah, 2:183)
Ahaa!
Nimemkumbuka Salman Rushdie.
 
Mfungo mwema.
Hivi kwanini huu uzi upo kwenye siasa au mfungo ni siasa!
 
maostaz wengi wameyagueuza madrassa kuwa gestii mazee , wanatoboana spika mlee nomaa dah, baadae unaskia wakisema allahu akubarii!!
Hata wakiristo mnafanya hivyo. Ndio maana kila wanaomba msamaha kanisa katoliki kila siku.Tena huko sio gesti bali watoto wadogo. Kenge nyamaza
 
Nitakuwa likizo ya Ramadhani
"Enyi mlio amini! Funga imeandikwa kwenu kama ilivyokuwa imeandikwa kwa wale waliokuwa kabla yenu ili mpate kumcha Allah." (Qur'ani, Surah Al-Baqarah, 2:183)
Aamini. Tumuombe Allah atufanyie wepesi na aje atukubalie funga nzetu👃👃
 
Nitakuwa likizo ya Ramadhani.

"Enyi mlio amini! Funga imeandikwa kwenu kama ilivyokuwa imeandikwa kwa wale waliokuwa kabla yenu ili mpate kumcha Allah." (Qur'ani, Surah Al-Baqarah, 2:183)
Kwa nini Maqurash walikuwa wakifunga Ramadhan?
 
Back
Top Bottom