Nitakuwa live facebook ifikapo majira ya saa nne usiku

Duh biashara hii ya uchungaji nzuri. Msingi wake siyo mkubwa lakini faida yake ni kubwa mno ukifanikiwa + Pesa za sadaka VAT free.
Vifaa vya kuanzia kwenye business plan:
1) Ujue kuongea kuwavuta wasikilizaji
2) Ukariri na kunukuu aya kadhaa za biblia
3) Simu ya kichina yenye FB app, bando,
4) Microphone etc...

Then you are ready to go....... Wajinga ndiyo waliwao.
 
Huwa najiuliza, manabii na mitume waliotajwa kwenye vitabu vitakatifu waliishi maisha ya shida sana, na wengi wao waliishia vifo vya mateso makali ikiwamo kukatwa vichwa. Lakini manabii wa sasa wanaishi maisha very expensive, wanavaa nguo za gharama, maono yao ni kuwa ukiingia kanisani kwake utakuwa tajiri, hivi hawa wakianza kufanyiwa mizengwe kama manabii wa zamani si wote watakana kuwa ni manabii? Najiuliza tu!!! Itokee kichaa mmoja aanze kuwafunga tu, kuna atakaebaki kweli?!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…