Mr Suprize
JF-Expert Member
- Dec 18, 2014
- 869
- 961
Habari Jf Doctors.
Mwanzoni mwa jumatatu ya wiki hii nilihis maumivu ya tumbo (bila kunguruma) ila lilikuwa linauma kiasi cha kushindwa kuendelea na kazi, nikachemsha maji nikanywa pamoja na vitunguu swaumu , tumbo lilitulia ila sio kuacha moja moja, usiku maumivu yalikuwa ya wastani nikala tena kitunguu swaumu nikapata usingiz mpaka asubuhi ya jumanne.. nilivyoamka niliendelea na kazi ila yale maumivu yalibadilika na kuwa maumivu ambayo yapo katika kiungo kimoja tu cha ndani, jumatano nikahisi maumivu makali kwa ndani karibia na sehemu za mapafu (ila sio mapafu yanayouma) hali ikaendelea vile had jana (alhamisi) usiku wa manane nikahis maumivu yapo nyuma mgongo ila kwa ndani (ila sio mgongo unaouma) maumivu yanaongezeka hasa wakati wa usiku , mpaka sasa naandika hii thread nahis maumivu kwa ndani usawa na yalipoanzia mapafu na shingo ... sijajua nini kitakuwa kinanisumbua mimi mwenye uzoefu kidogo anaweza kunisaidia
NB:Sijawahi kuvuta sigara wala kunywa pombe tangu nizaliwe,ila huwa nakunywa maji mengi sio chini ya lita 5 kwa siku.
pia umri wangu ni kati ya wale wenye miaka 20-25.