Nitakuwa off kwaajili ya masomo

Nitakuwa off kwaajili ya masomo

Bemendazole

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2020
Posts
2,649
Reaction score
6,680
Wapendwa, mkiona nimekuwa kimya msidhani nime R.I.P.

Nitakuwa nje ya jukwaa kwa kipindi fulani ili niweze kujikita katika kumalizia masomo yangu ngazi ya masters! Hapo awali, nilipata ufadhili kwa ajili ya masomo haya ambaye nisingependa kumtaja jina alitugharimia takribani milion 24, lakini sikumaliza.

Bahati ikwawa njema tena nikapata mfadhili ambaye alinigharimia takribani milion 7 lakini kwa bahati mbaya tena sikuweza kumaliza. Sasa kutokana na umuhimu wa kuwa na vyeti vilivyokamilika nimeamua nipunguze mzigo wa mambo yaliyoko kichwani kwangu ili niweze ku graduate.

Nawatakia kila la kheri katika kuijenga nchi yetu na jamii iliyo imara.

Tukutane tena siku za usoni.

Wasalaam
 
Utakuwa hupost,huingii kbs jf au hucoment.me kila nikijaribu kuwa nje nitashindwa
 
Mwenye Enzi Mungu akujalie ufaulu na ndoto zako zikamilike!
 
Back
Top Bottom