Nitakuwepo ifikapo Mwaka 2100

Hata ukiwepo harafu ukawa Mzee sana Kwa kuanikwa juaninitakusadia nini?
 
Kuna mwanafalsafa mmoja wa kale (simkumbuki jina) aliwahi kuhoji kwamba:

"Kuna tofauti yo yote ya msingi kwako ukifa leo au ukifa baada ya miaka 1,000 mbele?"

Hebu jaribu kufikiri vizuri na kwa kina kabla hujajibu swali hili la huyu mwanafalsafa GT.
 
Umekosa kitu cha kufikiria? kwa nini ujiumize akili??? Weitaaaaaa..... ya baridi sanaaaa hapa
 
Na wote wakisema kuanzia leo hakuna kuzaa, mwaka huo utakuwa mwisho wa dunia, hakutakuwa na mtu.
 
Sooner or later we're all be gone. Kiukweli haibadilishi maana binafsi uishi mwaka 1 au miaka 100. Ila itabadilisha maana kwa yale utakayoyatenda Duniani. Mfano kufanya matukio au kuleta mapinduzi katika era yako.
 
Duh miaka 30 na kitu tuliyonayo ila tunatamani dunia iishe hata Leo, maana maisha yanachosha balaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…