Nitalifungulia kesi Jeshi la Polisi kwa kunikamata bila idhini ya Mwajiri, Pia nalishukuru kwa kunipa promo(Deo Kisandu)

Usichelewe kufanya hivyo. Una haki ya kudai haki unayoona ni haki yako.
 
BADO UNASUMBUA? KWANIN USIWE KIMYA KAMA ROMA, NONDO, NA WENGNEO? AU WEWE HUKUPEWA MAFUNZO KAMA HAO?
 
Una matatzo ya kuruka stage unachokipigania hakijulikani jitu zima unapost ujinga ujinga mitandaon utafikir ndio unabarehe Leo.
Bora ulivyokuwa jela tulipumzika kuona upumbavu wako huku jf.

Badlika jombaa uwe unakua sio unazeeka na ujinga ujinga. Sijui hata wanao unawafundisha nn
 
tueleze kwanza maendeleo ya kesi ulizowahi kuahidi huku kwamba utawafungulia taasisi mbali mbali kwa kukosea jina lako.
 
Wewe ni mwalimu wa kufundisha watu jinsi gani waishi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…