Columbus
JF-Expert Member
- Nov 5, 2010
- 2,002
- 651
Nimepata mteja wa industrial laptop yangu nje ya nchi(Spain)na ametaka kuinunua, sasa nimeshindwa nianzie wapi? kama nitaamua kutumia Carrier kama DHL taratibu zikoje, malipo yatafanyikaje kuepuka utapeli? nadhani jibu litakuwa na manufaa kwa wengine pia.