Nimepata mteja wa industrial laptop yangu nje ya nchi(Spain)na ametaka kuinunua, sasa nimeshindwa nianzie wapi? kama nitaamua kutumia Carrier kama DHL taratibu zikoje, malipo yatafanyikaje kuepuka utapeli? nadhani jibu litakuwa na manufaa kwa wengine pia.

1.napendekeza utumie njia ya escrow. Watahakikisha mnunuzi amepokea mzigo na ameridhika ili wakukabidhi hela yako. Hapo hakuna yeyote ataweza kumtapeli mwingine. Ili kuelewa zaidi na kujisajili kwenye escrow nenda kwenye hii link https://www.escrow.com/solutions/escrow/process.asp
2. malipo ufanyika kwa njia ya debit/credit cards/ paypal/ alertpay etc