NITAMBUE: Naitwa Comrade Ally Maftah

Joined
Nov 6, 2016
Posts
77
Reaction score
271
Naitwa Comrade Ally Maftah

1. Ni rafiki wa wote
2. Mwanasiasa wa Jiji la Mzizima
Mjumbe Mkutano Mkuu wa CCM mkoa wa Dar es Salaam
Mjumbe Mkutano Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi Mkoa wa Dar es Salaam
3. Mjasiliamali na mwanzilishi wa mtandao wa kirafiki wa CAM STORE unaojihusisha na Biashara mseto kwa kuwashirikisha wazalendo wenzetu
4. Mtoa elimu kuhusu ujasiliamali, ufugaji na mitindo ya maisha kupitia mashairi, njimbo, riwaya, hadithi na vitabu.
5. Comrade Ally Maftah ni msomi wa level ya Shahada ( Bachelor )
 
Unatafuta nini humu wewe huu sio wakati wa kuomba kura!.. by the way kwanini wanasiasa wengi mnajitanguliza nyinyi kwanza kuliko utaifa...? Mnabeba mabendera ya chama kuliko ya taifa!! Tuwaelewe vipi..?
Nawewe ni chawa kama chawa wengine....?
 
 
Unatafuta nini humu wewe huu sio wakati wa kuomba kura!.. by the way kwanini wanasiasa wengi mnajitanguliza nyinyi kwanza kuliko utaifa...? Mnabeba mabendera ya chama kuliko ya taifa!! Tuwaelewe vipi..?
Nawewe ni chawa kama chawa wengine....?
Umemjibu vema
 
Kwanini mnataka kuuza bandari?

Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
 
Lengo la kijiweka hapa ni nini haswa?
 
Kwa Bandari wewe uko upande gani tukujue?
 
Karibu Sana jukwaani. unatakiwa uwe na macho ya bundi na ngozi ya mkuli kuwa humu, huku ukitaka usifiwe uwe against na channel zako za ulaji, nje ya hapo jiandae kukosolewa vikali.
 
Umepotea njia kijana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…