NITAMBUE: Naitwa Comrade Ally Maftah

Karibu sana comrade,ccm sio mbaya ila ccm imevamiwa na wahuni je na wewe ni mmoja ya wahuni walio ndani ya ccm?
 
Ndio mmekuja kuongezea nguvu ya uchawa?

Hilo lichama ni laana kwa taifa hili, hebu achana nalo kabla hujawa mchawi.
 
una kitu, utafika mbali.
 
Nakuunga mkono
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ