Zanzibar 2020 Nitamchagua Dkt. Mwinyi si Maalim Seif

msuyaeric

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2014
Posts
842
Reaction score
1,197
Leo kipenzi cha Wazanzibar Dkt. Hussein Mwinyi ameingia kwenye Historia mpya ya kwenda
kuwatumikia Wazanzibar wenzake kwa kuchukua fomu ndani ya Makao Makuu ya Tume ya Taifa
NEC.

Nawaambia mamilioni ya Wazanzibar juu ya uwezo wa mgombea huyu kijana na si kumpigia kura
mgombea Kibabu anayepokea mafao yake ya kustaafu, tena anaitwa Mzee king'ang'anzi kama Kupe aliyemganda Mbwa mchafu.

Dkt Mwinyi anasababu zaiidi ya Milioni za kuchaguliwa na Wazanzibar, Mwinyi ni kijana mwenye nguvu na ari ya kuitumikia Zanzibar lakini si Sultan Maalim Seif ambaye amekata kauli Dubai.

Dkt Mwinyi si King'ang'anizi ndiyo maana aliacha Ubunge wa Mkuranga na kwenda kugombea Kwahani Zanzibar na akashinda, lakini Maalim Seif ni king'ang'anzi anaegombea nafasi moja tu tangu sijazaliwa na hajawahi kushinda.

Dkt. Mwinyi ni mzalendo wa Zanzibar, ukimsikiliza tangu alioopomba kuteuliwa kugombea nafasi ya Urais, Dkt. Mwinyi sera yake ni moja ni kuhusu maendeleo ya Zanzibar na namna atakavyoshirikiana na Rais wa Tanzania kupeleka maendeleo Zanzibar, lakini Kibabu Maalim Seif sera yake kubwa ni kuiuza Zanzibar kwa maswahiba wake wa Dubai ambao sasa wanamtibia bure.
 
Wewe msuya wa usangi unaongelea uchaguzi wa Zanzibar wakati hata hauna hati ya ukaazi ambayo lazima uwe nayo ndio upige kura huko
Acha na hao ma mbwiga ambao bado wanaendelea kuchaguliwa rais wao kutokea dodoma
Ila ccm bana wakatili Sana wameamua kuwateulia mwanakisarawe kwenda kuwatawala huko
 
Leo kipenzi cha Wazanzibar Dkt. Hussein Mwinyi ameingia kwenye Historia mpya ya kwenda
kuwatumikia Wazanzibar wenzake kwa kuchukua fomu ndani ya Makao Makuu ya Tume ya Taifa
NEC.

Nawaambia mamilioni ya Wazanzibar juu ya uwezo wa mgombea huyu kijana na si kumpigia kura
mgombea Kibabu anayepokea mafao yake ya kustaafu, tena anaitwa Mzee king'ang'anzi kama Kupe aliyemganda Mbwa mchafu.

Dkt Mwinyi anasababu zaiidi ya Milioni za kuchaguliwa na Wazanzibar, Mwinyi ni kijana mwenye nguvu na ari ya kuitumikia Zanzibar lakini si Sultan Maalim Seif ambaye amekata kauli Dubai.

Dkt Mwinyi si King'ang'anizi ndiyo maana aliacha Ubunge wa Mkuranga na kwenda kugombea Kwahani Zanzibar na akashinda, lakini Maalim Seif ni king'ang'anzi anaegombea nafasi moja tu tangu sijazaliwa na hajawahi kushinda.

Dkt. Mwinyi ni mzalendo wa Zanzibar, ukimsikiliza tangu alioopomba kuteuliwa kugombea nafasi ya Urais, Dkt. Mwinyi sera yake ni moja ni kuhusu maendeleo ya Zanzibar na namna atakavyoshirikiana na Rais wa Tanzania kupeleka maendeleo Zanzibar, lakini Kibabu Maalim Seif sera yake kubwa ni kuiuza Zanzibar kwa maswahiba wake wa Dubai ambao sasa wanamtibia bure.
Kigezo cha kutaka kumuengua mtia nia kutokana na umri, chenye kuendana na sababu za "senility" ambacho kinaakisi udhaifu wa akili dhaifu kutokana na umri mkubwa wa mgombea wa uraisi , na pia kuzingatiwe upande wa huku Bara.

Mzaliwa wa chini ya 1960's ni jukumu la tume kufyekelea mbali.
 
Leo kipenzi cha Wazanzibar Dkt. Hussein Mwinyi ameingia kwenye Historia mpya ya kwenda kuwatumikia Wazanzibar wenzake kwa kuchukua fomu ndani ya Makao Makuu ya Tume ya Taifa NEC.

Dkt Mwinyi anasababu zaiidi ya Milioni za kuchaguliwa na Wazanzibar, Mwinyi ni kijana mwenye nguvu na ari ya kuitumikia Zanzibar lakini si Sultan Maalim Seif ambaye amekata kauli Dubai.

Dkt Mwinyi si King'ang'anizi ndiyo maana aliacha Ubunge wa Mkuranga na kwenda kugombea Kwahani Zanzibar na akashinda, lakini Maalim Seif ni kibabu king'ang'anzi kinachogombea nafasi moja tu tangu sijazaliwa na hajawahi kushinda.

Dkt. Mwinyi ni mzalendo wa Zanzibar, ukimsikiliza tangu alioopomba kuteuliwa kugombea nafasi ya Urais, Dkt. Mwinyi sera yake ni moja ni kuhusu maendeleo ya Zanzibar na namna atakavyoshirikiana na Rais wa Tanzania kupeleka maendeleo Zanzibar, lakini Kibabu Maalim Seif sera yake kubwa ni kuiuza Zanzibar kwa maswahiba wake wa Dubai ambao sasa wanamtibia bure.
 
Kiukweli japo sie watazamaji siooooooooooo
 
Leo kipenzi cha Wazanzibar Dkt. Hussein Mwinyi ameingia kwenye Historia mpya ya kwenda
kuwatumikia Wazanzibar wenzake kwa kuchukua fomu ndani ya Makao Makuu ya Tume ya Taifa
NEC.

Nawaambia mamilioni ya Wazanzibar juu ya uwezo wa mgombea huyu kijana na si kumpigia kura
mgombea Kibabu anayepokea mafao yake ya kustaafu, tena anaitwa Mzee king'ang'anzi kama Kupe aliyemganda Mbwa mchafu.

Dkt Mwinyi anasababu zaiidi ya Milioni za kuchaguliwa na Wazanzibar, Mwinyi ni kijana mwenye nguvu na ari ya kuitumikia Zanzibar lakini si Sultan Maalim Seif ambaye amekata kauli Dubai.

Dkt Mwinyi si King'ang'anizi ndiyo maana aliacha Ubunge wa Mkuranga na kwenda kugombea Kwahani Zanzibar na akashinda, lakini Maalim Seif ni king'ang'anzi anaegombea nafasi moja tu tangu sijazaliwa na hajawahi kushinda.

Dkt. Mwinyi ni mzalendo wa Zanzibar, ukimsikiliza tangu alioopomba kuteuliwa kugombea nafasi ya Urais, Dkt. Mwinyi sera yake ni moja ni kuhusu maendeleo ya Zanzibar na namna atakavyoshirikiana na Rais wa Tanzania kupeleka maendeleo Zanzibar, lakini Kibabu Maalim Seif sera yake kubwa ni kuiuza Zanzibar kwa maswahiba wake wa Dubai ambao sasa wanamtibia bure.
Zanzibar itabaki mdebwedo fanyeni mabadiliko achaneni na ccm
 
Na ndio mkaleta Tiss wa Tanganyika na kuweka road blocks kila mita kumi , zote za kutaka kumpa kura yako Mwinyi ??
 
Leo kipenzi cha Wazanzibar Dkt. Hussein Mwinyi ameingia kwenye Historia mpya ya kwenda
kuwatumikia Wazanzibar wenzake kwa kuchukua fomu ndani ya Makao Makuu ya Tume ya Taifa
NEC.

Nawaambia mamilioni ya Wazanzibar juu ya uwezo wa mgombea huyu kijana na si kumpigia kura
mgombea Kibabu anayepokea mafao yake ya kustaafu, tena anaitwa Mzee king'ang'anzi kama Kupe aliyemganda Mbwa mchafu.

Dkt Mwinyi anasababu zaiidi ya Milioni za kuchaguliwa na Wazanzibar, Mwinyi ni kijana mwenye nguvu na ari ya kuitumikia Zanzibar lakini si Sultan Maalim Seif ambaye amekata kauli Dubai.

Dkt Mwinyi si King'ang'anizi ndiyo maana aliacha Ubunge wa Mkuranga na kwenda kugombea Kwahani Zanzibar na akashinda, lakini Maalim Seif ni king'ang'anzi anaegombea nafasi moja tu tangu sijazaliwa na hajawahi kushinda.

Dkt. Mwinyi ni mzalendo wa Zanzibar, ukimsikiliza tangu alioopomba kuteuliwa kugombea nafasi ya Urais, Dkt. Mwinyi sera yake ni moja ni kuhusu maendeleo ya Zanzibar na namna atakavyoshirikiana na Rais wa Tanzania kupeleka maendeleo Zanzibar, lakini Kibabu Maalim Seif sera yake kubwa ni kuiuza Zanzibar kwa maswahiba wake wa Dubai ambao sasa wanamtibia bure.

Hizo road blocks zote mlizoziweka kila baada ya mita 10 na hao TISS na majeshi na mapolisi mliowaleta kama mvua ni wa kazi gani ???
 
Mzanzibara anajinadi atamchagua mzanzibara mwenzake!

Hao ni TISS kutoka Tanganyika , Jana walitaka kuzusha zengwe eti wamekamata boti ya Maharamia waliotumwa na Maalim waje kupindua , matokeo yake wakajiona ni FALA kwani tulishaambiwa kwenye ile kesi ya Uhaini ya Dr. Salmini kuwa Zanzibar si nchi huwezi kupindua
 
Ni haki yako kumpigia kura yeyote , ukitaka unaweza hata kumpigia shaitwan
 
Back
Top Bottom