Jibu la Mchwechwele nafikiri linajitosheleza
hahaha ......loh JF kuna vituko
Mmmh...jamaa ni yupi na mchumba ni yupi?...Ikatokea bahari dada amekutana na mtu ambaye wanapanga kuoana, shida atamtemaje jamaa, ambaye yuko violent na anakaba hata corner?
Sasa dada akapanga kuzaa na jamaa ili mimba ikitokea amwambie jamaa ili waachane. Bahati nzuri dada akafanya mapenzi na mchumba siku ya 10 na wakafanya tena siku ya 13 machana...
Kwa nini anamwogopa huyo jamaa? Sasa kama anamwogopa kiasi hicho, atawezaje kumwambia ana mimba ya mtu mwingine? Si 'atauwawa' kabisa?.... Bahati mbaya siku hiyo hiyo ya 13 jioni jamaa akaja, na dada hakuwa na ujanja wakafanya mapenzi usiku. ...!
DNA tu. Kwa vyovyote vile, hili la kuchanganya wanaume lazima litamgharimu. Hata kupitia DNA akijua baba halisi wa mtoto itamsaidia nini? Maana katika kipindi cha ujauzito itampasa kuamua baba wa mtoto....labda aamue kukaa mbali kabisa na wote wawili bila mawasiliano mpaka atakapojifungua na kufanya kipimo cha DNA.....Dada ikamuuma sana, kwa kuwa hadi sasa hajui baba wa mtoto atakuwa yupo. Mzunguko wake ni 28 days. Msaidieni wana JF, msimcheke, msimchambe, ni ya dunia haya!
Mume wa mtu mtamu. Source: daughter.Huyo dada jamani hayuko serious,
atashindwaje kumuacha huyo mume wa mtu kama kweli amedhamiria?
Hapo hana ujanja asubiri tu mtoto azaliwe kama Dr. Riwa alivyoshauri.
aliyemega mchana atakuwa amechangia pua na maskio, wa usiku amechangia mdomo na nywele vingine kabeba vya mama,
Kweli dunia tambara bovu! ukalale na wanaume wawili tofauti kwa tofauti ya masaa tu!
aliyemega mchana atakuwa amechangia pua na maskio, wa usiku amechangia mdomo na nywele vingine kabeba vya mama,
kweli asilimia 80 ya binadamu ni vichaaa.....
teheteheteheteheh..........pls jamani mbavu zangu mie
ndugu yng OKADA naomba uniwie radhi km nimekukwaza ila kiukweli NIMEUDHIKA SN kuskia eti MWANAMKE MWENYE AKILI TIMAMU anafanya ngono na wanaume 2 kwa siku 1, huo ni upumbavu na upuuzi, mwanamke unayejiheshimu huwezi kugawa mwili wako hovyohovyo namna hiyo eti kisa jamaa anakung'ang'ania hvy inabidi ubebeshwe mimba na mwingine ili akuache?why? UPUMBAVU HUO tena mwambie akatubu mana amefanya ZINAA, KASEMA UONGO, KATAMANI
hiyo ratio kwa habari hii ni ndogo
labda 99%
Simple,awaite wote wawili wasimame kushoto na kulia kwake. Ateme mate meengi kwenye kiganja cha kushoto,then ayapige na vidole viwili baada ya gumba.yatakaemrukia ndo baba wa mtoto. Kila la kheri
kweli asilimia 80 ya binadamu ni vichaaa.....
Kweli kabisa kama bado hajaelewa afanye PM
hahaahahah....hapo zamani za kale....umepoteza hela unaenda dukani...then inaweka mate mkononi unayapiga....yalikorukia ndo hela ilipo unaanza kuitafuta upande huo.....
Simple,awaite wote wawili wasimame kushoto na kulia kwake. Ateme mate meengi kwenye kiganja cha kushoto,then ayapige na vidole viwili baada ya gumba.yatakaemrukia ndo baba wa mtoto. Kila la kheri