NGULI
JF-Expert Member
- Mar 31, 2008
- 4,801
- 643
Mwenye mvuto kama FL,
Mpole na mwenye ngozi nyororo kama Lily Flower,
Swagger unyenyekevu na upole kama za JS,
Ateme nondo za ukweli kama WOS,
Mcha Mungu kama Charity,
Mwenye umbile la kibantu kama CheusiMangara.
Mchesi na mwenye kujituma jamvini kama BHT,
Mwenye msimamo usioyumba kama Preta,
Mfia nchi kama Gender Sensitive,
Asijichanganye na jinsia yake kama itei tei lya kite.
Mwenye kujali watoto asiwaache Arusha kama Nyamayao.
Mwenye kuota umilionea kama Binti Maringo.
Awe mshereheshaji wa kicheni Pati ya JF kama Maria Roza
Awe anajua kuimba(Vocalist) kama MAHAI.
Nitampata wapi huyu bibiye.