Hapo kwenye bold niko kimaslahi zaidi.Mwenye mvuto kama FL,
Mpole na mwenye ngozi nyororo kama Lily Flower,
Swagger unyenyekevu na upole kama za JS,
Ateme nondo za ukweli kama WOS,
Mcha Mungu kama Charity,
Mwenye umbile la kibantu kama CheusiMangara.
Mchesi na mwenye kujituma jamvini kama BHT,
Mwenye msimamo usioyumba kama Preta,
Mfia nchi kama Gender Sensitive,
Asijichanganye na jinsia yake kama itei tei lya kite.
Mwenye kujali watoto asiwaache Arusha kama Nyamayao.
Mwenye kuota umilionea kama Binti Maringo.
Awe mshereheshaji wa kicheni Pati ya JF kama Maria Roza
Awe anajua kuimba(Vocalist) kama MAHAI.
Nitampata wapi huyu bibiye.
Hapo kwenye bold niko kimaslahi zaidi.
Ongeza na hii kiongozi ili upate kitu murua 100%.
Awe mshauri nasaha kama Mwanajamiione
Awe anadeka kama Pearl
Asiwe anatema kiblurey kama Noname.
Ajue kujiandaa kama Shishi.
Awe na sifa ya kujifungua bila woga kama mama 5Js
Awe anakumisi kama babylove................
Kuolewa! Unaanza kukaba penalti sasa.kwa safari, netball, kuimba au......
Kuolewa! Unaanza kukaba penalti sasa.
Ongeza juhudi, bahati inaweza kuwa yako.i see nguli huyu mrembo unayemtaka yuko mahala lkn unahitaji msaada wa roho wa mungu ili uweze kumpata.!
Nipigieee! Mpenzi wangu nipigieeeee!Hucheleweshi! Upo makini kweli.
aiyaiya kuolewaa! ntarudi nyumbani kutembeaaa!
Nimeshakuelewa. Ngoja nimsaidie nguli;Shemeji una maanisha nini?n Mdogo wangu ana habari hii?
Unaanza kujipigia chapuo?Nguli unajua pa kunipata darling au sio??? kwenye PM........
i love broda Nguli lkn vigezo vyake daaah sina vyote mtu wangu.Ongeza juhudi, bahati inaweza kuwa yako.
Huyu kijana yuko desperate. Ameshaniomba niwe bestimani kwenye harusi yake.
Ukinipa namba za Nguli na wewe unataka umpigie nani?Nipigieee! Mpenzi wangu nipigieeeee!
Nikupe namba za nguliiiiii!
Sana mtu wangu siku ya leo hakuna kujipa presha ni vitu laini laini mpaka tyme ya kukaa counter ifike!!Kweli Bw. Kimey, hata me naona weekend imeanza, zinaanza kudondoshwa laini laini kudissolve sumu za week nzima kwenye mind. Teh teh