Nitampata wapi huyu mrembo hapa JF

ha ha ha hapo kwenye chaki BHT atanisadia nisije nikaongeo uwongo!!

Bihechitiiiiiiiiiiiiiiiii! upo wapi mamaa.Njoo ujibu swali hapa.Kimey naye ni muumini wa hilo dhehebu?(I doubt akina shimboni nachicha ikawapitia pembeni hii kitu,ni kwa neema ya Mungu tu)
 
Umenikumbusha sijakula siku nyingi. Leo wapi???
Chaguo ni lako sissie. We sema mi natimiza.

I will live and die for you hun.

Xspin.....hebu fafanua hapo pa red!!!! mmmmmnh!!!
Malkia wangu atakufafanulia. Hebu msome hapo chini.....

Ngoja nimsaidie.......
Eti ni kuhusu 10thApril.....quiting the club(spinsters)
Unajiandaa kuolewa!!!!!!!!!!
Nadhani umeelewa na tutaendelea kama zamani.

Leo my hommie Valuu zitamkoma kwa hii Poem!!
Katikati ya mistari hommie nakuona kama unalia wivu vile. Usijali, bibie ana mdogowe tunaweza ku-do the needful tukaoa nyumba moja.

Hizo valuu ndio ugomvi wetu mkubwa mimi na yeye.Hebu nishauri,nidiliti poem kabla hajaja?
Sasa wifey unaanza kwenda ofu topiki! Sikumbuki kama tulishawahi kugombana.

oooh okay....yes najiandaa sana!!!
Thanks for your understanding. Nakutakia maandalizi mema. Usinisahau kwenye mialiko.

Bihechitiiiiiiiiiiiiiiiii! upo wapi mamaa.Njoo ujibu swali hapa.Kimey naye ni muumini wa hilo dhehebu?(I doubt akina shimboni nachicha ikawapitia pembeni hii kitu,ni kwa neema ya Mungu tu)
Darlie vipi tena? unaulizia ulimi mdomoni?
 
Katikati ya mistari hommie nakuona kama unalia wivu vile. Usijali, bibie ana mdogowe tunaweza ku-do the needful tukaoa nyumba moja.
teh teh teh hommie you made my day ha ha ha nimekukubali kwa kusoma btn the lines!!
 
Nimerudi, nipeni samari, nani anaenda lunch na nani?
 
Njoo hapa break point. Niko na Charity tunatafuna dona. Ulikuwa gesti gani leo?

Msasha hiyo ni kali!!
Niko nachungulia dirishani naona hapo breakpoint mna du ze nidful
 
Inabidi ufunge kwa maombi utampata tuu
mmh! usimdanganye mwenzio, mwambie atafute kwa bidii!!
aende kwwenye shughuli za kijamii kwa bidii, kanisani, harusini, bar, disco, aanze kwenda kusoma pale chini ya ule mti wa UDSM (mdigirii)....yani startegic areas!!
 
Haaa kumbe enhe hahha hhaha
 
Week end ikifika utagundua tu kwa vile nimefunga yaani nasumbuliwa na kiu balaa.
 
Week end ikifika utagundua tu kwa vile nimefunga yaani nasumbuliwa na kiu balaa.

Jiunge nasi hapa BP ya posta kuna nguli kubwa linakusubiri. washa tukutuku
 
ha ha....wakwetu bana , umeshaclear cookies kule kwenye mdudu lakini?

nikienda kule ntaharibu friday yangu bure......

eti kasema imetuuma ndo maana ofu topiki........ngoja nikachungulie ukisikia mayowe tell I ribimi to come n rescue me
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…