Nitampata wapi huyu mrembo hapa JF

hommie apo ungejua....uliona wapi mwanaume anazeeka..achilia mbali vibaya...unataka shemeji Charity a do ze nidiful akupeleke angaza kwa lazima? LOL
Sasa hebu soma ishara za nyakati kwa cheusimangala afu u-do the needful pale kwa ankal. Unaweza kuta mambo ya Masaki vs Midtown a.k.a The Makambako project wonder of the wedding............
 
hahah hommie niemcheka hapa sina mbavu ujue! ngoja ni do ze nidiful
 
Hommie hajawahi kunitilia mashaka, so usijali. Huo wimbo kwa hommie unapoteza muda bure. Labda huu...................

Aramba aramba tenaaa.......... ammmmm ammmmm!

du afadhali.
huo wimbo sipotezi muda wewe, nikimuimbia na hii sauti yangu atazisahau nyimba nyingine zote, trust me!
 
usijali mpenzi we ndo daktari wangu wajua panaponiuma! Hommie ndo anamalizia rehab yake usimshangae sana
 
Tangu nijaliwe kipaji cha kusoma katikati ya mistari, sina wasiwasi hata nikiisahau ile mawani yangu. Kakague senksi kule. BTW raha ya wimbo sauti zote nne shurti zikamate. Ya tatu na ya nne zipo tayari, we unaimba ya kwanza usisahau kumtafuta atakayeimba ya pili. You knoo wora ai miiin?
 
usijali mpenzi we ndo daktari wangu wajua panaponiuma! Hommie ndo anamalizia rehab yake usimshangae sana
Hommie sikujua unaimba bezi kali namna hiyo. Ngoja nijinoe kwa tennon sasa.
 
dah tatizo mpwa unaibuka kama samaki baharini lol

Mpwa naumwa maralia yaani na siku 3 sinywi mpaka usingizi sipati usiku kama leo nimelala macho kabisa mkavuuuuu.
 
dah.....pole mpwa najua mambo yetu yale kidogo yamepumzika hadi hali itengemae....
 
Mpwa naumwa maralia yaani na siku 3 sinywi mpaka usingizi sipati usiku kama leo nimelala macho kabisa mkavuuuuu.
Dah! Pole sana kiongozi.

Usijali, ntakuwakilisha kwenye yale mambo yetu.
 
usijali mpenzi we ndo daktari wangu wajua panaponiuma! Hommie ndo anamalizia rehab yake usimshangae sana

hebu shika hapo panapokuuma mpenzi wangu nikuombee labda umetupiwa mapepo huko kibiti ulipokuwa.
 
??????????????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…