Nitampataje mume mwenye vigezo hivi?

Susy

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2011
Posts
1,431
Reaction score
221
Wapendwa nawasalimu!!

Ninatumai kila mtu ana sifa za ama mke au mume anayemtaka, rafiki zangu wa JF, napenda sana nipate mume mwenye vigezo hivyo hapo nilivyovitaja lakini kila siku imekua kinyume kabisa na matarajio yangu.

1. Awe Mkirsto
2. awe mweupe
3. awe na feature ya maisha, kwani fedha hutafutwa
4. awe mrefu wa wastani
5. kuanzia miaka 30 kuendelea

Dada yangu alishawahi kunitania kuwa eti niwatongoze wale ninaowapenda na nikitu ambacho siwezi hata kujaribu kufanya. Jamani nisaidieni au ndio niendelee kusubiri ubavu wangu kutoka kwa Mungu?

Naombeni mawazo yenu, pengine nafikiri hadithi za kujenga magorofa hewani.
 
Dada yangu alishawahi kunitania kuwa eti niwatongoze wale ninaowapenda na nikitu ambacho siwezi hata kujaribu kufanya. Jamani nisaidieni au ndio niendelee kusubiri

ndo ushawatongoza hivyo...subiria pm za kumwaga
 
watakupataje sasa,weka contacts zako hapa
 
Dada Suzy Umesomeka, Umeweka Sifa za Mwanaume unayemtaka, ni vema uweke na sifa zako pia ili kurahisisha zoezi kwa sisi wahitaji!

Asante
 

Susy are you serious on this?..ni-PM kama kweli uko serious.
 



sasa susy hivyo nilivyobold hapo,
vina umuhimu gani kwenye mahusiano ya ndoa?
 
Wewe ndo una tatzo utaendelea tafuta mme mwe vigezo unavyotaka hadi Ukongoroke, Mme ni mme tu ili mradi mpendane kwa dhati!! Kwanza tutake radhi cie weusi na wafupi kwa kashfa zako.
 
Ngoja waje! Kuna thread ilihusisha wanaume weupe kuwatesa mabinti sijui unaijua embu peruzi utaipata , halafu uje tena
 
Nimejaribu kukusaidia kumsechi kwenye google imenijibu NO RESULT FOUND !!!!!!
 

Mbona wewe hujaweka sifa zako ili mwanaume mwenye vigezo hivyo unavyotaka aangalie kama na wewe ni yule anayemuhitaji!!! Eh!!

1. Wewe ni Mkirsto
2. Wewe ni mweupe/mweusi?
3. Una feature ya maisha/mponda raha?
4. Wewe ni mrefu/mfupi?
5. Una umri gani?
6. Una mgongo wa maana?
7. Na n.k
 
bacha, lbd niuhoji moyo wangu, kwanini mwanaume mweupe ama mrefu ila hao ndio waliotoka katika sakafu ya moyo wangu!!
 
nawashukuru nyote, nimezisoma comments zenu, ukiona kama unavigezo hivyo karibu chemba!!
 
Weka picha yako susy maana na sifa zako maana! kunawalokwisha kutana na wasichotarajia inabidi usepe.. fanya hivyo mama
 
Utupe basi updates, hadi sasa umeshapata PM ngapi?
 

Aiseee
 
Gurudumu nitakufuata PM nikujibu maswali yako yote
 
Easymutanti nimekusoma lkn siwezi kuweka picha yangu hapa ndio maana JF wakatutengenezea chemba!
 
ha hahaaaaaaaaaaaaaaaa never give up, never givu up kaka!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…