Nitampataje mume mwenye vigezo hivi?



nina vigezo vyote ni pm
 
feature ya maisha ???? sijakuelewa vizuri hapa, ila kwa kuwa umevunja ukimya wataku PM wengi tu
 
"Feature ya maisha" unamaanisha nini?
 

Endelea kusubiri kwa kuomba utampata tu mume utakayepewa na Mungu! Njia unayotaka kutumia si sahihi. Njia hiyo (vigezo) hutumika kutafuta mvulana na si mume. Nikirejea vigezo ulivyotaja, naona vyote ni utashi wako tu na si kuongozwa na roho mtakatifu. Kwa taarifa tu hivyo vigezo ulivyotaja (isipokuwa cha urefu) huwa vinaendelezwa!! Kwa hiyo kuna uwezekano kuwa siku moja vikatoweka kwa huyo mume je itakuwaje utaenda tena kutafuta mwingine? Suppose anavigezo vyote lakini akawa na vitu vya kuridhi ambao hata yeye mwenyewe havifahamu say uzinzi etc itakuwaje?

Kwa kifupi mpendwa sahau kutafuta mume kwa kutumia text book writings au utashi (akili) wako. Sikiliza sana roho (siyo matamanio yako) kwa msaada wa roho mtakatifu utafanikiwa tu. In short tafuta mtu mtakayependana kwa dhati toka mioyoni mwenu irrespective ya hizo qualities. Mind you si semi ustimani, binadamu wanamatamanio angalizo hapa ni kuwa unafuta lasting relationship na siyo one-nite stand. Vile vile hata kwa vigezo hivyo kama utaomba kikweli kweli basi Mungu atakujalia tu vinginevyo kila utapofanikiwa kumpata mwenye hivyo vigezo chances ni atakuwa either hakupendi au ni mume wa mtu.

Naomba uniruhusu nihisi ni kwanini hasa kinachopelekea uwe na vigezo kama hivyo. Wadada wengi huwa na ndoto kama hizo kwamba nikiwa na mtu wa vigezo kama vyako basi watazaa watoto weupe warefu wazuri etc` etc. Nakutahadharisha kuwa maisha ya ndoa siyo rahisi kiasi hicho just look around utaupata ukweli.
 

Leo tutawekana sawa hivyohivyo tu, ngoja nianze.
Wewe umeshasema hana sababu ya kumuita mwenzie majina aliyoyataja coz ameshasema atabadilisha, na umeshasema anachokifanya ni kitu cha kijinga, sasa huoni hapo kumzuia mtu asiendelee kumsema mwenzie ni kuwa mkali?? Au unaelewa kuwa mkali ni kumshambulia mtu??? We unaelewaje bwana??? Mi sijaja kupata umaarufu hapa JF, utanipeleka wapi kwanza???? Naomba usichomekee yasiyohusu hapa. Mimi sijacomment kushambulia mtu, kama hukunielewa ungeniuliza kwanza
 
Ngoja nifanye utaratibu wa kukuPM my dia LD
 


Kama kweli uko serious basi nitumie meseji kwenye PM hapo. Yaani ndoa fasta!!!
 

Sina muda.....:coffee:
 
Mume mwema anatoka kwa bwana, hayo mavigezo siyo kitu kwenye ndoa. Unaweza ukapata mume mwenye hayo mavigezo yako halafu akawa "MZIGO" ndani ya nyumba. Mwombe Mungu wako atakupa MUME aliyekuandalia, ambaye anakidhi mahitaji yako
 
I am gud,nilikuwa naangalia hizo criteria hapo juu bahati mbaya nimeishawahiwa

Wasio kuwa na vigezo wamekuwa wakali kweli....l.o.l
ha ha ha ha ha,leo nimecheka sana,kila mtu ana kitu roho inapenda sasa kama mi sitaki mweusi,mnene,mfupi mwenye mashavu ka ya.............nifanyeje?

My brother,laters kidogo ngoja niwajibike!!! i hope jana imekwenda vizuri....we talk laters!! be good!
 
Mume mwema anatoka kwa bwana, hayo mavigezo siyo kitu kwenye ndoa. Unaweza ukapata mume mwenye hayo mavigezo yako halafu akawa "MZIGO" ndani ya nyumba. Mwombe Mungu wako atakupa MUME aliyekuandalia, ambaye anakidhi mahitaji yako
FP UNASTAHILI HII KITU HAPA CHINI
The Following User Says Thank You to Fixed Point For This Useful Post:

The Finest (Today)​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…