The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,092
Hahaha haya bana, catch you latersWasio kuwa na vigezo wamekuwa wakali kweli....l.o.l
ha ha ha ha ha,leo nimecheka sana,kila mtu ana kitu roho inapenda sasa kama mi sitaki mweusi,mnene,mfupi mwenye mashavu ka ya.............nifanyeje?
My brother,laters kidogo ngoja niwajibike!!! i hope jana imekwenda vizuri....we talk laters!! be good!
Mume mwema anatoka kwa bwana, hayo mavigezo siyo kitu kwenye ndoa. Unaweza ukapata mume mwenye hayo mavigezo yako halafu akawa "MZIGO" ndani ya nyumba. Mwombe Mungu wako atakupa MUME aliyekuandalia, ambaye anakidhi mahitaji yako
FP UNASTAHILI HII KITU HAPA CHINI
The Following User Says Thank You to Fixed Point For This Useful Post:
The Finest (Today)
Ni ubeijing tu umewajaa wamama wa siku hizi toka lini mume akatafutwa mume ndio alipewa jukumu la kutafuta mke, usawa usawa usawa usawa! usawa my foot. Kuna siku tulitoka safari tukapata pancha wababa wacha waanze kutwambia haya usawa sasa wamama badilisheni tairi la gari tukabaki tumeshushuka shuuuuu. mume wako kama yuko atakuja tu wewe subiri na kama hayupo hayupo tu msilazimishe mambo
Kuna vitu havihitaji short cut na moja wapo ya vitu hivyo ni kwenye kupata MUME/MKE tena hasa sisi wakristu ukifunga ndoa imetoka nimemwambia awe makini na amshirikishe Mungu kwenye maombi asitegemee hivyo vigezo ndio vitampa mume boraAsante sana TF, huyu dada naona yupo kwenye kuchagua mtu wa kutoka naye, siyo mume. Wenzie tulipiga magoti mpaka karibu tutoke sugu za magoti, kwa kuomba MUME MWEMA; sasa tunafaidi kwa raha zetu
Wapendwa nawasalimu!!
1. Awe Mkirsto
2. awe mweupe
3. awe na feature ya maisha, kwani fedha hutafutwa
4. awe mrefu wa wastani
5. kuanzia miaka 30 kuendelea
Kuna vitu havihitaji short cut na moja wapo ya vitu hivyo ni kwenye kupata MUME/MKE tena hasa sisi wakristu ukifunga ndoa imetoka nimemwambia awe makini na amshirikishe Mungu kwenye maombi asitegemee hivyo vigezo ndio vitampa mume bora
All the best Suzy usichoke kufunga na kumuomba mungu akupe mme mwenye hizo sifa
Hakika yeye ni mwema ukiamini katika kweli hilo litatimia
Mshiki hatukatai ila basi pamoja na yote hayo mtangulize Mungu kwenye maombi basi ili akupe mume wa namna hiyo ila kama ndio unajiamulia mwenyewe bila kuomba kuongozwa na Roho Mtakatifu ndio hapo unaangukia kwenye trash halafu mengine yanaanza kuwa ni historia hata mimi napenda kuwa na mwanamke wa aina fulani lakini basi mshirikishe pia Mungu basi ili aweze kukupatia yule unayemuhitaji weweMmmmmh semeni yote lakini pamoja na tabia na vyote lazima mwanaume anivutie na nafsi yangu imkubali jinsi alivyo. Duu Fikiria mtu mrefuuu mi nikisimama kichwa changu kinafika kiononi kwake, au mi mrefuu akisimama kichwa chake kinakuwa kiononi, nikitaka kumhug sijui namrukia, daaaaaah!!
Mmmmmh semeni yote lakini pamoja na tabia na vyote lazima mwanaume anivutie na nafsi yangu imkubali jinsi alivyo. Duu Fikiria mtu mrefuuu mi nikisimama kichwa changu kinafika kiononi kwake, au mi mrefuu akisimama kichwa chake kinakuwa kiononi, nikitaka kumhug sijui namrukia, daaaaaah!!
Labda siku hizi mambo yamebadilika sijui lakiniFL1 huyo hataki kumshirikisha Mungu ndo maana kalileta hapa. angekuwa mtu wa kumshirikisha Mungu angefunga na kuomba kivyake na Mungu angemletea huyo MUME anayemtaka; wadada tunatafutaga waume? au mimi ndo mshamba?
Mshiki hatukatai ila basi pamoja na yote hayo mtangulize Mungu kwenye maombi basi ili akupe mume wa namna hiyo ila kama ndio unajiamulia mwenyewe bila kuomba kuongozwa na Roho Mtakatifu ndio hapo unaangukia kwenye trash halafu mengine yanaanza kuwa ni historia hata mimi napenda kuwa na mwanamke wa aina fulani lakini basi mshirikishe pia Mungu basi ili aweze kukupatia yule unayemuhitaji wewe
Bado bado FP ndio tunaelekea huko, Novena ya siku 7 au 21? l.o.lNakubaliana nawe kabisaaaaaaaaaaaaaaaaa. Unastahili hii
The Following User Says Thank You to The Finest For This Useful Post:
Fixed Point (Today)
Umeshaoa TF, naweza kujitolea kufanya NOVENA kwa ajili yako kama bado unatafuta. Hakuna kitu kizuri kwa maisha kama kumpata mwenza mnayeelewana............. yaani siku unaziona zinaenda tuuuuuuuuuuuu, wala huna haja ya kuzifikiria
Wapendwa nawasalimu!!
Ninatumai kila mtu ana sifa za ama mke au mume anayemtaka, rafiki zangu wa JF, napenda sana nipate mume mwenye vigezo hivyo hapo nilivyovitaja lakini kila siku imekua kinyume kabisa na matarajio yangu.
1. Awe Mkirsto
2. awe mweupe
3. awe na feature ya maisha, kwani fedha hutafutwa
4. awe mrefu wa wastani
5. kuanzia miaka 30 kuendelea
Dada yangu alishawahi kunitania kuwa eti niwatongoze wale ninaowapenda na nikitu ambacho siwezi hata kujaribu kufanya. Jamani nisaidieni au ndio niendelee kusubiri ubavu wangu kutoka kwa Mungu?
Naombeni mawazo yenu, pengine nafikiri hadithi za kujenga magorofa hewani.
Mshiki hatukatai ila basi pamoja na yote hayo mtangulize Mungu kwenye maombi basi ili akupe mume wa namna hiyo ila kama ndio unajiamulia mwenyewe bila kuomba kuongozwa na Roho Mtakatifu ndio hapo unaangukia kwenye trash halafu mengine yanaanza kuwa ni historia hata mimi napenda kuwa na mwanamke wa aina fulani lakini basi mshirikishe pia Mungu basi ili aweze kukupatia yule unayemuhitaji wewe
Bado bado FP ndio tunaelekea huko, Novena ya siku 7 au 21? l.o.l
FL1 huyo hataki kumshirikisha Mungu ndo maana kalileta hapa. angekuwa mtu wa kumshirikisha Mungu angefunga na kuomba kivyake na Mungu angemletea huyo MUME anayemtaka; wadada tunatafutaga waume? au mimi ndo mshamba?