Nitampataje mume mwenye vigezo hivi?

Unajua kwenye kutafuta MKE/MUME huwa tunasahau kujileta mbele ya Mungu na kupeleka maombi yetu ili aweze kuyafanyia kazi ukimpata mwanamke/mwanaume mwenye vigezo ulivyokuwa unataka unaona ndio umepata mume bora huku nyuma ulisahau kumuomba Mungu akupe baraka zake kwenye maombi yako ndio baadae kizungumkuti kinaanza ndani ya nyumba unaanza kujiuliza mbona huyu MKE/MUME ana sifa zote nilizokuwa ninataka sasa kwanini sio ambavyo nilikuwa nikitarajia, tukichukua njia zetu wenyewe na kujiona tunajua zaidi au tuko sawa hayo ndio yanatupata.

Ni sawa na unapokuwa unaomba ukiwa na MKE/MUME ni mara nyingi nimeona watu wakiwa wanapeleka maombi ya kuomba vitu fulani, kazi, biashara lakini ni wachache sana wanaopeleka maombi ya kuwaombea wenzi wao MUME/MKE tunasahau
 

Hebu toa na wewe wasifu wako. Umbile, rangi, hobbies, elimu, dini... then tutakwambia kama una sifa za kuweza kumpata mtu mwenye sifa ulizosema...
 
Jamani mnaomshambulia dada wa watu mnajuaje kama ameshamshirikisha Mungu akaelekezwa Jf?Baraka za Mungu zinaenda sambamba na juhudi za mwanadamu!Mwacheni atafute kwa njia anayoona yeye ni sahihi na sio mnavyotaka nyie!!Alafu kama urefu ni muhimu kwake then mwacheni atafute urefu..hayo mengine atamsoma mtu taratibu baada ya kuridhika na muonekano ambao ni muhimu pia kwake!!Kila la heri mwaya..kama yuko hapa utampata..na kama sio atakuja tu!Usisahau tu kuomba!
 

Mpendwa Suzy nimetimiza vigezo vyote kasoro mimi si mweupe vipi nikitumia mkorogo utanikubali ?.Nisianza mkorogo mwisho wa siku ukanistukia ukanitwanga talaka bure bora uniambie mapema nikae mkao wa kula.
 
Afadhali siyo peke yangu ninayeona ajabu. mi nilifikiri kama TF alivyosema, mambo yanaenda yakibadilika

Mi nakwambia dunia ndio inaelekea ukingoni sasa, kama ambavyo mtu analazimisha kujiweka makalio, matiti ambayo mungu hakumuumba nayo ndio hivyo hivyo wanavyolazimisha na maubavu ya wenzao ambao mungu hakumpangia
 
:laugh::laugh::laugh::laugh:
 

Mama mchungaji hebu msome hapa mtumishi wako

Dada yangu alishawahi kunitania kuwa eti niwatongoze wale ninaowapenda na nikitu ambacho siwezi hata kujaribu kufanya. Jamani nisaidieni au ndio niendelee kusubiri ubavu wangu kutoka kwa Mungu?

Naombeni mawazo yenu, pengine nafikiri hadithi za kujenga magorofa hewani
.

sasa hapa anataka mawazo ya mungu au yetu na kwanini asisubiri kama hapo juu alivyoandika, nanukuu (jamani nisaidieni au ndio niendelee kusubiri ubavu wangu kutoka kwa Mungu)
 

Ni hivi huyo dada ameweka wazi hapa JF ili asaidiwe kimawazo na sio kama unavyofikiri wewe kuwa tumwacheni tu atafute kwa njia yake. Labda nikukumbushe kuwa huyu dada anatafuta mume! kama ni swala la mwanaume mwenye vigezo hivyo wako wengi tu na hata yeye atakuwa amekutana nao. Nakuomba uchukulie kuwa JF wanamsaidia kimawazo na si wanamshambulia!
 

Nakosa weupe tu ila vyoote ninavyo
 
Nakushauri Uwe spesicific
Mkristo wa madhehebu yapi?! maana mengine ni kero! nakushauri asiwe wa itikadi kali, kwani wanakuwa wabishi!

Mweupe! Mzungu, Albino au rangi ya Kichaga? Nakushauri awe na rangi ya Chocolate au Mweusi kidogo ni wazuri katika Mapenzi na mwonekano!

Awe na feature ya maisha,
nafikiri hapa ulitaka kumaanisha Future?! yah! ni muhimu maana Mwanaume asiye na future utampeleka wapi?!

Awe mrefu wa wastani;
Ye ni kweli, maana akiwa mrefu zaidi anakuwa si sharp na dharau, pia akiwa mfupi anakuwa na tabia ya kujifanya kujua na hasira sana!

kuanzia miaka 30 kuendeleae:
Nakushauri aanzie 33-35, wengi wanakuwa serious na maisha ingawa si wote, maana ktk umri huu anakuwa anakaribia 40 hivyo anaogopa kufikisha 40 kabla hajafanya ya maana
 

?????
 

mi nakushauri utulie tu wala usikurupuke.
Wanaume wenyewe wengine akili mbili.
 
Maty nimekusoma ila mngekua wapole kidoogo maana mlivyokua wakali anaweza akaogopa hata kuendelea kusoma na kufanyia kazi mawazo yenu!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…