Uchaguzi 2020 Nitampigia Kura mgombea urais yeyote atakaejieleza kwa ufasaha kuhusu fao la kujitoa NSSF

Fedha za mifuko zilifujwa na serikali na shida ni kuwa hawana uwezo wa kuzirejesha sasa kinachobaki ni kuwafanyia wafanyakazi dhuluma maanake hawana jinsi.
 
Kura kwa Lissu tayari
 
Rahisi rahisi kwa Watz waoga

Bali mioyoni wanaugua, kura Ni Tumaini lao

Wizi wa kura Ni cancer
 
Fedha za mifuko zilifujwa na serikali na shida ni kuwa hawana uwezo wa kuzirejesha sasa kinachobaki ni kuwafanyia wafanyakazi dhuluma maanake hawana jinsi.
Ndio sababu Kuu

Wamezichota kwa ajili ya Kampeni
 
Poor daddy,unawaza nssf tu?,mkipewa za mkupuo mnaolea hovyo ,kunywa pombe hovyo na starehe zisizo na maana ,kisha mnaanza kuilaumu serikali haiwajali ,pathetic
Binafsi nafikiri hela za mtu zibakie kuwa za kwake na pengine wakeweka kategory mbili mtu achague anayotaka mwenyewe
1. Kwa wanaotaka malipo ya mkupuo
2. Kwa wanaotaka malipo kidogo kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…