Uchaguzi 2020 Nitamwaga Sukari ziwa Victoria

Orodha imepangwa kulingana na kiwango cha unafiki!
Sisi wenye akili kubwa tunafahamu kuwa Haki ni kama mafuta yanapomiminwa kwenye maji,huzama chini kwa muda na baadaye huelea juu.Wameweka wagombea wa CDM at the bottom of a ballot paper on purpose,ila tunaenda hadi ukurasa wa mwisho kumtafuta mpakwa mafuta Mh.Lissu na tutamweka juu ya election results.Tupo pamoja?
 
Kelele ambazo hazikisaidii chama chetu
 
Hongera! Sukari yako itakwenda kuongeza density ya maji ya kuzalishia umeme kwenye bwawa la Ethiopia!
 
Lissu atauona Urais kwenye TV tu.
 
Dah walipoiweka cdm hapo mwisho ndio kama wameipaisha kuliko wangeiweka kati kati. Cdm kama wajanja watengeneze kauli mbiu.." nenda hadi mwisho wa karatasi utamkuta mtu wetu tia tiki"
 
Mfano wa karatasi ya kupigia kura umeknesha nani Msindi
 
Dhumuni sio iwe tamu, lengo kufikisha ujumbe kuwa hata mtutishe vipi hatuwapi kura ng'oo! [emoji23]
Me nafikiri inakupasa ukumbuke kuwa kura yako ni moja, hivyo ningekushauri ujikite katika swala zima la kuhakikisha haiharibiki, maana si kwa akili hizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…