Nitanunua gari ya ndoto yangu mwaka 2023

NDORANGA

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2021
Posts
216
Reaction score
376
Habarini wakuu, naamini tunaendelea vizuri katika harakati za kujenga taifa, niseme kazi iendelee.

Baada ya kutimiza malengo yangu ya mwaka huu ndani ya robo tatu muhula wa mwaka (kuanzia mwezi wa 1 hadi wa 9), nimeamua kuchukua muda huu uliyobaki kuangalia jinsi ya kutimiza ndoto moja madhubuti ya mwaka 2023 ikiwa ni kununua gari ya ndoto yangu Mercedes Benz G Class 350 ya mwaka 2013.

Nimewachagua dealers wazuri nimeiona ni MWACAR Intertrade, naweza pata ushauri pia kwa wadau humu ndani.
 
Okay
 
Back
Top Bottom