kilamba lamba
JF-Expert Member
- May 27, 2020
- 427
- 738
Bao flani ivi ukizichapa na Dominique chinn unaenjoysawa, wenzako tupo huku👇🏾 tunaogopa majukumu
View attachment 2708338
CHAPUTA FAMILY 💦💦💦. Huko ndio kuna wanachama hai sasa 😄😄😄 nimekuta mahali.sawa, wenzako tupo huku👇🏾 tunaogopa majukumu
View attachment 2708338
Acha kushauri vijana upumbavusawa, wenzako tupo huku👇🏾 tunaogopa majukumu
View attachment 2708338
Hongera, Ila ujue ni mtihani mkubwa katika maisha, fanya maombi ili upate uliyepangiwa. Nasema hivyo kwani kuna kupanda na kushuka kiuchumi ukioa.
Ni kweli mkuu, Sio aoe kupata mafanikio halafu asiyaone baada ya kuoa, atakua na ndoa ngumu.Hongera, Ila ujue ni mtihani mkubwa katika maisha, fanya maombi ili upate uliyepangiwa. Nasema hivyo kwani kuna kupanda na kushuka kiuchumi ukioa.