F Field Marshal JF-Expert Member Joined Apr 5, 2014 Posts 414 Reaction score 280 May 22, 2014 #1 Nilikunywa fansida siku 1 mwaka 2009 nilipoamka kesho yake nilivimba uso na macho, alafu uso ukawa mweusi sehemu niliovimba. Hadi Leo bado kweusi. Msaada kwa anaejua namna gani nifanye ili hii hali itoke tafadhari. Nawasilisha.
Nilikunywa fansida siku 1 mwaka 2009 nilipoamka kesho yake nilivimba uso na macho, alafu uso ukawa mweusi sehemu niliovimba. Hadi Leo bado kweusi. Msaada kwa anaejua namna gani nifanye ili hii hali itoke tafadhari. Nawasilisha.
MankaM JF-Expert Member Joined Apr 20, 2013 Posts 9,448 Reaction score 3,065 May 22, 2014 #2 yan hiyo dawa ni sumu tosha na ukipiga na pombe ndio kabisaaaaaaaaaa umejimaliza