mbona katka tcu wamesema cut off point 5 na kwenye my profle imeandikwa yes
Vigezo vya kuingia UDSM unavyo, ila UDSM inachukua idadi maalum katika kila degree program! na hapo wanafuata ufaulu wa mtu. kwahiyo mpaka uje ufikiwe wewe hiyo idadi tayari imeshatosha. Nina mashaka kama unaweza kupata, ili kuwa na uhakika zaidi omba vyuo vyengine.mbona katka tcu wamesema cut off point 5 na kwenye my profle imeandikwa yes
msimkatishe tamaa ingawa kwa matokeo yake muce na duce ndio patamfaa zaid but jarb anyway ingawa main campus kuna competition sana unaweza pata..
mm nimepata div 3 ya 13 cut off point n 5.5 nimesoma HKL JE NITAPATA UDSM FAKAT YA BARCH OFART WITH EDUCATION MWAKA HUU
Jaribu bahati yako tu kijana.
mm nimepata div 3 ya 13 cut off point n 5.5 nimesoma HKL JE NITAPATA UDSM FAKAT YA BARCH OFART WITH EDUCATION MWAKA HUU