Erick zeph Stanley
JF-Expert Member
- Apr 25, 2013
- 647
- 72
N hv wanaotakiwa UDSM BA.ed_1600
walioomba 4000
Eligible_1400
Kati ya hizo eligible walioaply Ba.ed kama first choice n 746 nazani ka zitabakia hv ilvo atapata nafasi udsm 100% au mnaonaje wakuu
Mkuu unaweza ukaweka hzo data na kwa walio apply chemical &process eng na civil eng ,au utuelekeze jinsi unavyoangalia?
ukifungua profile yako kwenye kwenye selection status kule elekeza mshale wa mouse mpaka kwenye code pale kwenye vibox vya mwanzoni then utaona maelezo wanakuletea kwa code uliyoielekezea mshale
nmekuelewa nita jaribu kesho
mm nimepata div 3 ya 13 cut off point n 5.5 nimesoma HKL JE NITAPATA UDSM FAKAT YA BARCH OFART WITH EDUCATION MWAKA HUU
mm nimepata div 3 ya 13 cut off point n 5.5 nimesoma HKL JE NITAPATA UDSM FAKAT YA BARCH OFART WITH EDUCATION MWAKA HUU
Unaweza kupata hiyo "FAKART YA BARCH OFART WITH EDUCATION" ila Degree programme ya Bachelor of Arts with Education sahau.... you can't be serious... Kweli matunda ya shule za kata yameanza kuonekana.
N hv wanaotakiwa UDSM BA.ed_1600
walioomba 4000
Eligible_1400
Kati ya hizo eligible walioaply Ba.ed kama first choice n 746 nazani ka zitabakia hv ilvo atapata nafasi udsm 100% au mnaonaje wakuu
O'LEVEL una ''Cut off point'' ya ngapi? Maana UDSM huwa wana ''consider'' zote mbili!!
Ni hivi:Kama mtu ni wa jinsia ya kike,kwa divIII ya 13 arts huenda akapata,lakini kwa mwanaume mwenye ufaulu huo kwa arts asahau kabisa.
Wale jamaa wako
serious c mchezo&TCU ikiwapelekea mtu mwenye ufaulu huo, wako tayari kumtimua.
Ni ngumu.....nna hiyo 13 nimeomba bcom mbili pale zote nimepigwa NO...sasa fikiria ikiwa watu wa uchumi ni wachache nami nimepigwa no itakuaje wewe wa education ambapo kuna watu kibaooo???
kaka huo uongo uliza kwanza ndo useme hayo maneno n hivi cut off point ndo zinaangaliwa hawaangalii jinsia kule mkuu.
Ni hivi:Kama mtu ni wa jinsia ya kike,kwa divIII ya 13 arts huenda akapata,lakini kwa mwanaume mwenye ufaulu huo kwa arts asahau kabisa.
Wale jamaa wako
serious c mchezo&TCU ikiwapelekea mtu mwenye ufaulu huo, wako tayari kumtimua.
kwaka huu?
Mimi siongei kitu ambacho sina ushahdi nacho,amini nakuambia.
-Katika guide book hawajaonesha jinsia lakini admission office UDSM ina utaratibu huo.
-Pia tazama orodha ya watu waliodahiliwa UDSM kwa miaka kadhaa iliyopita,hakuna ME mwenye 3 aliyefanikiwa kupenya,haijalishi ana matokeo gani f4.
-Ni ME yupi mwenye 3 ya arts amedahiliwa UDSM?
Kama yupo katumia "panya road"
-Zaidi nenda kaulizie Admission office UDSM ndipo uje kunikosoa?
-Guide Book isikupe jeuri,na kama huamini jaribu na hyo div3 yako ya arts then you will see how things goes.